Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
hizi ndoto ni nzuri mno! maskini anaota kaokota furushi la pesa! akiamka asubuhi mia ya maandazi hana! Maalim kwishney hana maajabu tena!Anaend kuchukua nchi huyu...
Mungu mbariki sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi ndoto ni nzuri mno! maskini anaota kaokota furushi la pesa! akiamka asubuhi mia ya maandazi hana! Maalim kwishney hana maajabu tena!Anaend kuchukua nchi huyu...
Mungu mbariki sana!
hizi ndoto ni nzuri mno! maskini anaota kaokota furushi la pesa! akiamka asubuhi mia ya maandazi hana! Maalim kwishney hana maajabu tena!
keyboard ni nini mkuu?Umekwisha wewe mwenyewe!
Hivi wewe una uwezo hata wa kuitisha kikao cha familia na wakaja kukusikiliza?
...au ndio kujificha nyuma ya keyboard na kujiona mjuaji wa kumjua Maalim?
keyboard ni nini mkuu?
ule mkutano ni batili una viashiria vyote vya uvunjifu wa amani! Maalim anataka kuharibu brand ya Hotel Verde tu hana jingine!Natabiri, mkutano wake utazuiliwa na huenda na yeye akawekwa rumande. Nimejikuta natabiri hayo tu maana siku hizi utabiri umekuwa rahisi sana kwa baadhi ya wanasiasa na Polisi
mkuu ahsante kwa kunikumbusha! kweli nina mwezi tu ila michango yangu yakushinda wewe na miaka yako yote humu!...kesho ndio anniversary yako ya mwezi mmoja humu! Ukikomaa utajua, wewe bado unanuka harufu ya maziwa!
Kwanini kila mkutano wa wapinzani uwe batili lakini mikutano ya ccm iwe halali!? Uoga umewajaa, waacheni watu waongee kisha wananchi wapime. Msipende kuongea peke yenu tuule mkutano ni batili una viashiria vyote vya uvunjifu wa amani! Maalim anataka kuharibu brand ya Hotel Verde tu hana jingine! ngoja tusubiri! keshasema kama noma na iwe noma, liwalo na liwe!
wapinzani au wahuni tu?Kwanini kila mkutano wa wapinzani uwe batili lakini mikutano ya ccm iwe halali!? Uoga umewajaa, waacheni watu waongee kisha wananchi wapime. Msipende kuongea peke yenu tu
Kagombee na wwHuyu mzee kila awamu anagombea yeye tu ,
Huyu mzee kila awamu anagombea yeye tu ,
Muhuni ana miguu mingapi? Unajuaje mwenzako ni muhuni Kama wewe sio muhuni?wapinzani au wahuni tu?
muhuni ni mtu ameshindwa uchaguzi miaka 30 bado yumo tu!Muhuni ana miguu mingapi? Unajuaje mwenzako ni muhuni Kama wewe sio muhuni?
Hakika CCM inaitakia Tanzania mabaya.unaamsha popo mkuu! yatakiwa kwanza watu waende zenj, wajae ukumbini kisha dakika ya kwanza tu Maalim kuongea defender ifike na kumpiga Maalim Tanganyika jeki manake nasikia kapanga kuongea maneno mazito ya uchochezi na kugawa watu hasa ishu yao ya Zana za Kilimo ( ZZK) kutiwa mbaroni Kilwa eti ACT wanadai kaonewa hawakubali liwalo na liwe!! baada ya Maalim kupandishwa kwenye defender wafuasi wake hawatakubali kama Kilwa vurugu kubwa itaibuka na hotel kuchafuka kwa mabomu ya machozi! Verde hapatokalika kesho!
nasikia ule mkutano una kibali feki na umekaa kishari shari na hauna nia njema! nasikia lengo la Maalim ni kupandikiza chuki wazenj waichukie serikali yao na wafanye fujo kwenye uchaguzi kwakuwa wanajua refa mkali Jecha hayuko job!! karudia kusema ‘kama noma na iwe noma maneno gani haya kwa mtu mzee kama yeye??
Zenj inafaa iachwe patulie si kuanza amsha amsha!! wapemba wakianzisha fujo na mauaji yakitokea mchumia tumbo Maalim huwa anajificha!!
hotel bab kubwa Africa meneja wa hotel ameamua kuiharibia jina lake bure tu kwa siku moja tu manake mabomu ya machozi , mabuti na virungu na ving’ora vya maafande vikianza kulia Verde wageni watakimbia kila kona na wengine watadundwa mabuti hayana macho na wageni wengine wakisikia na kuona video ya kichapo online hawaji Verde ng’o! muda ni huu hotel kufuta haraka huo mkutano majuto ni mjukuu brand yao yote itaporomoka wakimpa Maalim nafasi ni mharibifu tu yule!! Hotel Verde msijesema hatukuwaambia!!
Kwanza si heshma alieifungua hotel hajafanya mkutano eti aje afanye yule mhuni jino kwa jino! nawaona kwa mbali FFU wakipiga jaramba kujiandaa na ‘operesheni cobra’ tomorrow!
The vivid experience shows that Maalim walks with a curse and bloody hands and he destroys whatever he touches by his hands!!
Acheni uchizi nyie, na isipotikisika tunakuoa kimombasa hata kama wewe dume.
muhuni ni yule analazimisha ushindi kwa namna yoyote ile hata kwa kutumia vyombo vya dola. Muhuni hataki wengine wafanye mikutano, wakutane na wananchi wala hataki tume huru ya uchaguzimuhuni ni mtu ameshindwa uchaguzi miaka 30 bado yumo tu!
Huyu mzee kila awamu anagombea yeye tu ,
Magufuri anawania na nani mkuuNa safari hii wamem printia fomu yake pekee