Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hana jipya huyo mzee wenuKijani kwisha habari Yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana jipya huyo mzee wenuKijani kwisha habari Yao
Watauliwa na nani ?Safari hii watu watakufa kuliko 2001.
Kwa kweli maswali Ni mengi kuliko majibu, polis wanaingilia mambo ya kisiasa waziwazi. ...Kwanini kila mkutano wa wapinzani uwe batili lakini mikutano ya ccm iwe halali!? Uoga umewajaa, waacheni watu waongee kisha wananchi wapime. Msipende kuongea peke yenu tu
kuna wahuni Zaidi kuliko wauji CCM ?wapinzani au wahuni tu?
CCM ndio wenye mpya miaka 60 ya utawala wao hapana isipokuwa njaaHana jipya huyo mzee wenu
Mbona ni kama uko kwa system halafu mwoga subiri aongee au mmejipanga kufanya haya ili mkutano uvurugike mara unawatisha watu wa hotel ya Verde mara aliyeifungua hajawah fanya mkutano hapo yanawahusu nini mkuu.Pathetic!!!unaamsha popo mkuu! yatakiwa kwanza watu waende zenj, wajae ukumbini kisha dakika ya kwanza tu Maalim kuongea defender ifike na kumpiga Maalim Tanganyika jeki manake nasikia kapanga kuongea maneno mazito ya uchochezi na kugawa watu hasa ishu yao ya Zana za Kilimo ( ZZK) kutiwa mbaroni Kilwa eti ACT wanadai kaonewa hawakubali liwalo na liwe!! baada ya Maalim kupandishwa kwenye defender wafuasi wake hawatakubali kama Kilwa vurugu kubwa itaibuka na hotel kuchafuka kwa mabomu ya machozi! Verde hapatokalika kesho!
nasikia ule mkutano una kibali feki na umekaa kishari shari na hauna nia njema! nasikia lengo la Maalim ni kupandikiza chuki wazenj waichukie serikali yao na wafanye fujo kwenye uchaguzi kwakuwa wanajua refa mkali Jecha hayuko job!! karudia kusema ‘kama noma na iwe noma maneno gani haya kwa mtu mzee kama yeye??
Zenj inafaa iachwe patulie si kuanza amsha amsha!! wapemba wakianzisha fujo na mauaji yakitokea mchumia tumbo Maalim huwa anajificha!!
hotel bab kubwa Africa meneja wa hotel ameamua kuiharibia jina lake bure tu kwa siku moja tu manake mabomu ya machozi , mabuti na virungu na ving’ora vya maafande vikianza kulia Verde wageni watakimbia kila kona na wengine watadundwa mabuti hayana macho na wageni wengine wakisikia na kuona video ya kichapo online hawaji Verde ng’o! muda ni huu hotel kufuta haraka huo mkutano majuto ni mjukuu brand yao yote itaporomoka wakimpa Maalim nafasi ni mharibifu tu yule!! Hotel Verde msijesema hatukuwaambia!!
Kwanza si heshma alieifungua hotel hajafanya mkutano eti aje afanye yule mhuni jino kwa jino! nawaona kwa mbali FFU wakipiga jaramba kujiandaa na ‘operesheni cobra’ tomorrow!
The vivid experience shows that Maalim walks with a curse and bloody hands and he destroys whatever he touches by his hands!!
NonsenseUnaamsha popo mkuu! yatakiwa kwanza watu waende zenj, wajae ukumbini kisha dakika ya kwanza tu Maalim kuongea defender ifike na kumpiga Maalim Tanganyika jeki manake nasikia kapanga kuongea maneno mazito ya uchochezi na kugawa watu hasa ishu yao ya Zana za Kilimo ( ZZK) kutiwa mbaroni Kilwa eti ACT wanadai kaonewa hawakubali liwalo na liwe!! baada ya Maalim kupandishwa kwenye defender wafuasi wake hawatakubali kama Kilwa vurugu kubwa itaibuka na hotel kuchafuka kwa mabomu ya machozi! Verde hapatokalika kesho!
Nasikia ule mkutano una kibali feki na umekaa kishari shari na hauna nia njema! nasikia lengo la Maalim ni kupandikiza chuki wazenj waichukie serikali yao na wafanye fujo kwenye uchaguzi kwakuwa wanajua refa mkali Jecha hayuko job!! karudia kusema ‘kama noma na iwe noma maneno gani haya kwa mtu mzee kama yeye?
Zenj inafaa iachwe patulie si kuanza amsha amsha!! wapemba wakianzisha fujo na mauaji yakitokea mchumia tumbo Maalim huwa anajificha!
Hotel bab kubwa Africa meneja wa hotel ameamua kuiharibia jina lake bure tu kwa siku moja tu manake mabomu ya machozi , mabuti na virungu na ving’ora vya maafande vikianza kulia Verde wageni watakimbia kila kona na wengine watadundwa mabuti hayana macho na wageni wengine wakisikia na kuona video ya kichapo online hawaji Verde ng’o! muda ni huu hotel kufuta haraka huo mkutano majuto ni mjukuu brand yao yote itaporomoka wakimpa Maalim nafasi ni mharibifu tu yule!! Hotel Verde msijesema hatukuwaambia!
Kwanza si heshma alieifungua Hotel hajafanya mkutano eti aje afanye yule mhuni jino kwa jino! nawaona kwa mbali FFU wakipiga jaramba kujiandaa na ‘operesheni cobra’ tomorrow!
The vivid experience shows that Maalim walks with a curse and bloody hands and he destroys whatever he touches by his hands!!
kifoi andika vizuri unakimbizwa na nani? si ulijifunza kuumba herufi darasa la kwanza wewe? ‘wauji’ ndo nini? ulitaka kusema ‘wauwaji’? au una kigugumizi unapoongea?kuna wahuni Zaidi kuliko wauji CCM ?
Endelea kutega sikioKisa tu Hamad kuongea kesho!?
tunatega! mnaanza saa ngapi mubashara?Endelea kutega sikio
HakikaGwiji wa siasa