Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

hizi ndoto ni nzuri mno! maskini anaota kaokota furushi la pesa! akiamka asubuhi mia ya maandazi hana! Maalim kwishney hana maajabu tena!

Umekwisha wewe mwenyewe!
Hivi wewe una uwezo hata wa kuitisha kikao cha familia na wakaja kukusikiliza?
...au ndio kujificha nyuma ya keyboard na kujiona mjuaji wa kumjua Maalim?
 
Natabiri, mkutano wake utazuiliwa na huenda na yeye akawekwa rumande. Nimejikuta natabiri hayo tu maana siku hizi utabiri umekuwa rahisi sana kwa baadhi ya wanasiasa na Polisi
 
Natabiri, mkutano wake utazuiliwa na huenda na yeye akawekwa rumande. Nimejikuta natabiri hayo tu maana siku hizi utabiri umekuwa rahisi sana kwa baadhi ya wanasiasa na Polisi
ule mkutano ni batili una viashiria vyote vya uvunjifu wa amani! Maalim anataka kuharibu brand ya Hotel Verde tu hana jingine!

sijui kwanini Meneja haoni balaa iliyo mbele yake hadi mda huu atajuta mno kupokea maharamia kwenye hotel yake mabomu ya machozi yakirindima kesho! ngoja tusubiri!

Maalim keshasema kama noma na iwe noma, liwalo na liwe!
 
ule mkutano ni batili una viashiria vyote vya uvunjifu wa amani! Maalim anataka kuharibu brand ya Hotel Verde tu hana jingine! ngoja tusubiri! keshasema kama noma na iwe noma, liwalo na liwe!
Kwanini kila mkutano wa wapinzani uwe batili lakini mikutano ya ccm iwe halali!? Uoga umewajaa, waacheni watu waongee kisha wananchi wapime. Msipende kuongea peke yenu tu
 
Kwanini kila mkutano wa wapinzani uwe batili lakini mikutano ya ccm iwe halali!? Uoga umewajaa, waacheni watu waongee kisha wananchi wapime. Msipende kuongea peke yenu tu
wapinzani au wahuni tu?
 
Chadema wote tutaiunga mkono act wazalendo against CCM safari hii bila haki basi CCM kunawanachoitakia Tanzania.
 
Hakika CCM inaitakia Tanzania mabaya.
 
huyu jamaaa naye sasa inabidi ifike kipindi watu wamuangalie naye kwa ukaribu
historia yake inaonesha kaanza hizi harakati tokea 90 uko mpaka leo nchi itatikisika itatikisika duuh
 
muhuni ni mtu ameshindwa uchaguzi miaka 30 bado yumo tu!
muhuni ni yule analazimisha ushindi kwa namna yoyote ile hata kwa kutumia vyombo vya dola. Muhuni hataki wengine wafanye mikutano, wakutane na wananchi wala hataki tume huru ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…