Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

Kwanini kila mkutano wa wapinzani uwe batili lakini mikutano ya ccm iwe halali!? Uoga umewajaa, waacheni watu waongee kisha wananchi wapime. Msipende kuongea peke yenu tu
Kwa kweli maswali Ni mengi kuliko majibu, polis wanaingilia mambo ya kisiasa waziwazi. ...
 
Duh'..[emoji3]sijaona hata TV moja maarufu ya hapa nchini iliosema itamrusha Mubashara[emoji3]
Haya tumeshaweka bando tukuone FB Live[emoji3]
 
Mbona ni kama uko kwa system halafu mwoga subiri aongee au mmejipanga kufanya haya ili mkutano uvurugike mara unawatisha watu wa hotel ya Verde mara aliyeifungua hajawah fanya mkutano hapo yanawahusu nini mkuu.Pathetic!!!
 
Nonsense
 
kuna wahuni Zaidi kuliko wauji CCM ?
kifoi andika vizuri unakimbizwa na nani? si ulijifunza kuumba herufi darasa la kwanza wewe? ‘wauji’ ndo nini? ulitaka kusema ‘wauwaji’? au una kigugumizi unapoongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…