Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Sikio la kufa.kwani hata maiti ya manii yule iifanywa kama kiroba cha kubebea madawa ndio maana kinje alikuwa busy nayo kama anatoka ktk ukoo wake.mwisho utajulikana wa hili picha la kibongo.
 
Ohoooo! ushahidi kwisa vurugika! mara ni yule aliyewasindikiza eapoti, mara ni yule mwenye mgahawa katikati ya mujini nilikwisa sema joto ya jiwe iko ijua mujusi!!!! taona muguu moja juu mara muguu jingine naweka chali,ili muradi nakwepesa joto ya jiwe!:confused2:
 
Hivi kilo 150 unazibeba je, ama nimelewa vibaya? hiyo ni junia moja na nusu la maharage aisii.
 
Kama Serikali inaficha majina ya drugs lords basi bora tuwataje tu. kwa kupitia comments za watu, ma drugs lords wa TZ ni Riz_One. Kinje Ngombalu, Will Malecela, Shomari Kimbau... tuendelee na list.

Wachungaji wote wa makanisa yanayochipukia.
1. Mzee wa upako
2. Gwajima
3. Rwakatare
4.
5.
6.
7.
Endelea na list
 
Pumbav zao ikiwezekana wanyongwe kabisa mbwa hao, na serikali yetu nayo ishirikiane na Afrika Kusini ktk kuhakikisha kwamba hao wanaotajwa nao wanafikishwa kunakohusika. Tumechoka kuona watu wajingawajinga dizain yao malaya wanaichafua nchi yetu.
Nakubaliana na wewe mkuu, vibinti vidogo lakin vinafanya visivyoweza yafanya. Vingenyopoka hapo vingekuja na advertise kibaooo ooh mara kinadrive BMW X6 ooh mara kina studio kumbe viuza poda vishenz vinahuska kwa kina katka kuua nguvu kazi za Taifa letu. Acha wakanyee debe hao watoto.
 
Magazeti ya Global Publisherz huwa ni wapuuzi sana, yaani wamejaa udaku udaku tu. Kama wanashindwa kutaja wahusika wanaandika habari ili iweje?. Masogange anapaswa kupewa adhabu kali ili iwe ni fundisho kwa Vijana wenye tamaa.

Mmoja si ni yule mwenye jina la kinara wa vita vya "Maji Maji"? Wanaogopa "libel".
 
raisi ameshundwa kuwataja wauza unga,waziri nae kashindwa wabunge pia wamechemka hivi ndo tutarajie gazeti litutajie??? Yaani hawa wanyongwe tu!!! Mchezo uishe.
 
hivi hii serikali haisikii kilio chetu watz wazalendo!!! Serikali inabidi ichukue serious action now kulingana na hili hali tuwaone kweli wapo serious tumechoka na blah blah wtf??
 
Mwenyewe nashangaa kwann wasiseme ukweli na hao vinara wachukuliwe hatua?maana wanatesa sana vijana wetu,af wao hata hawapati madhara yoyote zaidi ya kujenga minyumba ya fahari na kuishi kama hakuna kitu kinachoitwa kifo,na Mungu awaadhibu
vinara wa madawa ya kulevya hawawezi kuchukuliwa hatua na serikali yetu hii....hao vinara labda Mungu awaadibishe...
 
hivi hii serikali haisikii kilio chetu watz wazalendo!!! Serikali inabidi ichukue serious action now kulingana na hili hali tuwaone kweli wapo serious tumechoka na blah blah wtf??
serikali imeshazizoea vilio vyetu ndo mana hawafanyi lolote.....kwani mambo mangapi yametokea kwenye nchi yetu na bado serikali imekaa kimya....vilio vyetu wananchi kwa serikali ni kama wimbo wa Taifa.....
 
mi nina wasiwasi inawezekana mkuu wa kaya anahusika maana haiwezekani nchi inaharibika mikoni mwako wewe upo tu uunarandaranda
 
Magazeti ya Global Publisherz huwa ni wapuuzi sana, yaani wamejaa udaku udaku tu. Kama wanashindwa kutaja wahusika wanaandika habari ili iweje?. Masogange anapaswa kupewa adhabu kali ili iwe ni fundisho kwa Vijana wenye tamaa.

Vijana wengi tunaangamia kwa Tamaa
 
Back
Top Bottom