Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

raisi ameshundwa kuwataja wauza unga,waziri nae kashindwa wabunge pia wamechemka hivi ndo tutarajie gazeti litutajie??? Yaani hawa wanyongwe tu!!! Mchezo uishe.

Unaniburudisha. Kila anaejaribu kufatilia hiyo cheni anaikuta ipo uvunguni mwa kitanda chake mwenyewe!!!
 
Yaani tangu mkubwa aliposema ana orodha ya majina ya wafanya hii biashara na hajawahi chukua hatua yeyote hadi sasa hivi, na juzi wabunge kuzua kizazaa cha kutaka wauza unga watajwe ikawa mizengwe, sina cha kusema.
Sasa wametajwa
 
Haya, story hiyooo
 
Noted
 
Majina mnahifadhi ya nini si mseme tuuu.... Kwanini watanzania wengi wanajiingiza kwenye madawa hasa kwenda kubeba?? Ni tamaa auuu
 
Pumbav zao ikiwezekana wanyongwe kabisa mbwa hao, na serikali yetu nayo ishirikiane na Afrika Kusini ktk kuhakikisha kwamba hao wanaotajwa nao wanafikishwa kunakohusika. Tumechoka kuona watu wajingawajinga dizain yao malaya wanaichafua nchi yetu.
Makonda hawajui hao mkuu .
 
Hivi hii habari ya mwaka gani inakula muda wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…