Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

Wanajichelesha tu ,hii kesi itachukua miaka kibao

USSR
Waache wachezaji wachague viwanja vyao, sie huku nje hatujui ya ndani. Utajuaje kama hiyo kesi ilipelekwa kuna ambayo kuna agent wao wa kutekeleza wayatakayo
 
investment ya Ugaidi haiwezi kuwa duni kiasi hicho , fuatilia mafungu ya Alshabab
Simaanishi kuwa 600k inaweza kufacilitate UGAIDI, Laah Hasha , hata Mimi nastaajabu kumshtaki mtu kwa kosa la kutoa 600k kuufadhiri ugaidi! Hili nmeliona Tanzania TU!
 
It is just delaying the proceedings

mwisho wa siku jamaa anazidi kuumia

wanasheria sometimes wanacheza ping pong na siye tunachekelea
Ukiona hivyo ujue kesi ina ushahidi wa kutosha kumtia ntuhumiwa hatiani. Mfano mzuri ni kesi ya Sabaya ambayo imeisha kwa muda mfupi. Isingekuwa ombi la Mawakili wa Serikali kuomba muda wa kuandika hitimisho, hukumu ingekuwa imetolewa.

Kwa hivyo basi, pingamizi zinaendelea kumweka mtuhumiwa kusota rumande wakati mawakili wake wakila bata na familia zao kwa pesa wanayolipwa kumtetea
 
Mfano mzuri ni kesi ya Sabaya ambayo imeisha kwa muda mfupi.

Kwa hivyo basi, pingamizi zinaendelea kumweka mtuhumiwa kusota rumande
mkuu, sabaya aliweka pingamizi kupitia wakili wake , sema hakimu alilitupilia mbali!

Hao mawakili chini ya kibatala wanajua wanachokifanya!

We tuendelee kujihudhurisha ktk kesi hii kupitia mitandao, mwisho wa siku hili nalo litapita!
 
Mawakili wa Freeman Mbowe ambaye ni Mwamba wa siasa za Tanzania, anayeshitakiwa na serikali ya Tanzania kwa makosa ya Ugaidi wa thamani ya hela za madafu shilingi laki 6 , Wameiwekea pingamizi kesi hiyo kwa madai kwamba Mahakama ya Uhujumu uchumi na Rushwa, ambako kesi hiyo imepelekwa haina uwezo wa kusikiliza kesi ya Ugaidi.

Mahakama imepokea pingamizi hilo na inatarajia kulitolea uamuzi kesho saa 3 asubuhi .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1918046
laki sita ni sawa na US DOLA ngapi ?
 
Ligaidi linaendelea kusota.

B9C6A827-3B81-4F2B-AD97-8227322E9C2D.jpeg
 
Hamza ameacha fundisho kwa mapolisi vibaraka wa CCM.
 
Back
Top Bottom