Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

Wanajichelesha tu ,hii kesi itachukua miaka kibao

USSR
Waache wachezaji wachague viwanja vyao, sie huku nje hatujui ya ndani. Utajuaje kama hiyo kesi ilipelekwa kuna ambayo kuna agent wao wa kutekeleza wayatakayo
 
investment ya Ugaidi haiwezi kuwa duni kiasi hicho , fuatilia mafungu ya Alshabab
Simaanishi kuwa 600k inaweza kufacilitate UGAIDI, Laah Hasha , hata Mimi nastaajabu kumshtaki mtu kwa kosa la kutoa 600k kuufadhiri ugaidi! Hili nmeliona Tanzania TU!
 
It is just delaying the proceedings

mwisho wa siku jamaa anazidi kuumia

wanasheria sometimes wanacheza ping pong na siye tunachekelea
Ukiona hivyo ujue kesi ina ushahidi wa kutosha kumtia ntuhumiwa hatiani. Mfano mzuri ni kesi ya Sabaya ambayo imeisha kwa muda mfupi. Isingekuwa ombi la Mawakili wa Serikali kuomba muda wa kuandika hitimisho, hukumu ingekuwa imetolewa.

Kwa hivyo basi, pingamizi zinaendelea kumweka mtuhumiwa kusota rumande wakati mawakili wake wakila bata na familia zao kwa pesa wanayolipwa kumtetea
 
Mfano mzuri ni kesi ya Sabaya ambayo imeisha kwa muda mfupi.

Kwa hivyo basi, pingamizi zinaendelea kumweka mtuhumiwa kusota rumande
mkuu, sabaya aliweka pingamizi kupitia wakili wake , sema hakimu alilitupilia mbali!

Hao mawakili chini ya kibatala wanajua wanachokifanya!

We tuendelee kujihudhurisha ktk kesi hii kupitia mitandao, mwisho wa siku hili nalo litapita!
 
laki sita ni sawa na US DOLA ngapi ?
 
Hamza ameacha fundisho kwa mapolisi vibaraka wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…