Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kuongea ni kazi ya raia, tunategemea wao wachukue hatua na kutoa way forward sasa nawenyewe wanaongeaongea tu kama sisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimo Cha jembe la mkononi mkuu wangu ni mateso, tena mateso makubwa. Kwa akili ya msukuma kilimo kilichoko kwenye akili yake ni Cha jembe la mkono. Usidhani anazumgumzia kilimo Cha tractor na kuvuna kwa combine harvester.Nchi masikini na za watu wajinga huwa wanadhani kilimo ni mateso.
MaigizoView attachment 2987538
Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi.
Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli.
Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize kwa makini kama nilivyofanya halafu muamue wenyewe.
Angeongea haya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu wala nisingehangaika kuleta aliyosema humu.
Ukiwa tajiri mambo madogo madogo hayakuzuii kuhojiKumbe huyu mwamba huwa anahoja!
Haya tumeyasikia toka miaka Ile chama lenu limeweka pamba masikionView attachment 2987538