Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Makada wepi? Mbowe imemtaja kwa Jina na hao Makada wataje vinginevyo unaleta umbea tu, kumchafua mwenyekitiNi jambo jema [emoji1][emoji91]
Tundu Antipas Lisu atakuwepo?
Maana Mbowe hana tofauti na Makada wa CCM
Niambie ni kada yupi wa ccm aliyeswekwa jela kwa Tuhuma za UgaidiNi jambo jema 😄🔥
Tundu Antipas Lisu atakuwepo?
Maana Mbowe hana tofauti na Makada wa CCM
Huyo jamaa ana akili nyembamba sana .Makada wepi? Mbowe imemtaja kwa Jina na hao Makada wataje vinginevyo unaleta umbea tu, kumchafua mwenyekiti
Ole SabayaNiambie ni kada yupi wa ccm aliyeswekwa jela kwa Tuhuma za Ugaidi
😂😂😂😂Huyo jamaa ana akili nyembamba sana .
Mungu ibariki CHADEMA[emoji173][emoji419][emoji375]Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa.
Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza kwamba, kutokuwa na Jopo la Wahadhiri 15 wa Vyuo vikuu ambao watafanya kazi ya kuwaelimisha Wananchi kuhusu Ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP World.
Maandalizi yote yamekamilika.
Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea kila kinachojiri.
Usiondoke JF.
View attachment 2787219
Amina!
Amen
Sabaya alikamatwa kwa Ujambazi wa kutumia silahaOle Sabaya
#255 #OkoaBandariZetu #KatibaMpyaKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa.
Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza kwamba, kutokuwa na Jopo la Wahadhiri 15 wa Vyuo vikuu ambao watafanya kazi ya kuwaelimisha Wananchi kuhusu Ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP World.
Maandalizi yote yamekamilika.
Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea kila kinachojiri.
Usiondoke JF.
View attachment 2787219
Hakika#255 #OkoaBandariZetu #KatibaMpya
Mungu amjalie afya njema Tundu Lissu arejee kwenye mapambano. Amen!
Anakuja Inshaallah !Mungu amjalie afya njema Tundu Lissu arejee kwenye mapambano. Amen!
Anakuja Inshaallah !
Aiseeeeeee !!!Tukio la kupigwa risasi Tundu lissu, limeacha laana kubwa nchi hii,. ...moja Kiongozi Mkubwa kufariki akiwa madarakani, mbili nchi kuongozwa na Rais asiyechaguliwa na wananchi, tatu waTanzania kuongozwa na wabunge waliopitishwa Kwamabavu na mtu mmoja...my take...mwenye uwezo wa kuiponya nchi hii kwa Sasa ni Tundu Antipas Lissu, Wengine watatuunguza Zaid.
Ishu ya bandari imekufa natural death!Hata asipokuwapo haya ni muhimu sana kusikika:
a) Kwenye katiba mpya na bandari: Katiba mpya iwe sasa. Biashara ya bandari haipo, sasa na hata milele.
b). kusimama na wananchi siku zote.
c). Kukomaa na agenda. Hakuna kubadili gia kihasara hasara. Agenda za wananchi kuwa ni za kudumu.
d). Tukiitisha maandamano tuwapo bega wa bega mstari wa mbele. Tuko tayari kufa au hata kufungwa badala au kwa niaba ya wananchi wetu.
e) Uwazi na tunachosema au hata kwa kutuangalia, (usoni) tuna maanisha.
f) Madhila ya watu yawe wetu. Tuvisikiea vilio na matamanio yao.
g) Tuwashawishi kwa nguvu za hoja si kwa hoja za nguvu.
h) Hoja zetu zijiuze.
I) Dhamira zetu ziwe wazi. Lugha yetu, adui akaielewe kwa ukamilifu wake.
Kwa hakika hata kama TAL asipokuwapo operesheni itabamba.