Kumekucha: Oparesheni 255 yaingia Kanda ya Nyasa, kuzinduliwa Tunduma 21/10/2023

Ishu ya bandari imekufa natural death!

Ina maana hapo kwenye bango la wito wewe bandari huioni kuwa imo?

Screenshot_2023-10-20-13-04-37-1.png.jpg

Kwamba haya:

"#255 #OkoaBandariZetu #KatibaMpya"

Ni picha?

Punguza mihemuko ndugu.
 
Nimekwambia mambo ya Dp world samia kashanyoosha mkono juu...

Sasa kama ndivyo kulikoni yangalipo kwenye bango? Rejelea maandiko yako kujiridhisha kuwa huruki na kujikanyaga mwenyewe.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa.

Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza kwamba, kutokuwa na Jopo la Wahadhiri 15 wa Vyuo vikuu ambao watafanya kazi ya kuwaelimisha Wananchi kuhusu Ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP World.

Maandalizi yote yamekamilika.

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea kila kinachojiri.

Usiondoke JF.

View attachment 2787219
Bora twende na hii tu. Huko Lupaso ni headache tu
 
Tukio la kupigwa risasi Tundu lissu, limeacha laana kubwa nchi hii,. ...moja Kiongozi Mkubwa kufariki akiwa madarakani, mbili nchi kuongozwa na Rais asiyechaguliwa na wananchi, tatu waTanzania kuongozwa na wabunge waliopitishwa Kwamabavu na mtu mmoja...my take...mwenye uwezo wa kuiponya nchi hii kwa Sasa ni Tundu Antipas Lissu, Wengine watatuunguza Zaid.
Hahahaaa
 
Ila Damu ya Lissu haikumwagika bure.....wait and see
 
Mw
MwwaammbbambamwaKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa.

Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza kwamba, kutokuwa na Jopo la Wahadhiri 15 wa Vyuo vikuu ambao watafanya kazi ya kuwaelimisha Wananchi kuhusu Ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP World.

Maandalizi yote yamekamilika.

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea kila kinachojiri.

Usiondoke JF.

View attachment 2787219

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa.

Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza kwamba, kutokuwa na Jopo la Wahadhiri 15 wa Vyuo vikuu ambao watafanya kazi ya kuwaelimisha Wananchi kuhusu Ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP World.

Maandalizi yote yamekamilika.

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea kila kinachojiri.

Usiondoke JF.

View attachment 2787219
Bila Tundu Lisu ni sawa na kufuja tu Ruzuku!!
 
Back
Top Bottom