Kumekucha: Oparesheni 255 yaingia Kanda ya Nyasa, kuzinduliwa Tunduma 21/10/2023

Kumekucha: Oparesheni 255 yaingia Kanda ya Nyasa, kuzinduliwa Tunduma 21/10/2023

Chadema imepoteza uhalali wa siasa za upinzani baada ya dj kulamba asali na kitendo cha kuwakumbatia kovidi 19 kisa ruzuku.
 
Naunga mkono

Hicho ni chuma cha pua:

a) Kwenye katiba mpya na bandari: Atataka katiba mpya sasa. Biashara ya bandari haipo, sasa na hata milele.
b). Atasimama na wananchi siku zote.
c). Huyu si kigeugeu. Agenda za wananchi kwake ni za kudumu.
d). Akiitisha maandamano atakuwapo mstari wa mbele. Yuko tayari kufa au hata kufungwa badala au kwa niaba ya wananchi wake.
e) Siyo mnafki, ni muwazi na anachosema au ukimwangalia, (usoni) ana maanisha.
f) Ni kipenzi cha watu.
g) Hushawishi kwa nguvu za hoja si kwa hoja za nguvu.
h) Huyu huwa na wafuasi wa dhati, siyo wafuasi wa kulipwa (chawa). Hoja zake zajiuza. Hahitaji kukingiwa kifua.
I) Amedhamiria. Lugha yake, adui huielewa Kwa ukamilifu wake.

Huyo ni TAL mwana halisi was nchi hii.
 
Chadema imepoteza uhalali wa siasa za upinzani baada ya dj kulamba asali na kitendo cha kuwakumbatia kovidi 19 kisa ruzuku.
Sijui umeishia darasa la ngapi , lakini Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na Wabunge wa Viti Maalum
 
Niliziona jana M4C, mjitahidi mpate nyingine mpya.
Hongereni kwa harakati zenu za kisiasa.
 
Back
Top Bottom