Kumekucha: Oparesheni 255 yaingia Kanda ya Nyasa, kuzinduliwa Tunduma 21/10/2023

Ishu ya bandari imekufa natural death!

Ina maana hapo kwenye bango la wito wewe bandari huioni kuwa imo?



Kwamba haya:

"#255 #OkoaBandariZetu #KatibaMpya"

Ni picha?

Punguza mihemuko ndugu.
 
Nimekwambia mambo ya Dp world samia kashanyoosha mkono juu...

Sasa kama ndivyo kulikoni yangalipo kwenye bango? Rejelea maandiko yako kujiridhisha kuwa huruki na kujikanyaga mwenyewe.
 
Bora twende na hii tu. Huko Lupaso ni headache tu
 
Hahahaaa
 
Ila Damu ya Lissu haikumwagika bure.....wait and see
 
Mw

Bila Tundu Lisu ni sawa na kufuja tu Ruzuku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…