political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
[emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa Matajiri wa Chamazi.
[emoji617] Kilichotokea ni Azam kukataa kiasi cha USD 230,000 ambacho Prince Dube alihitaji kulipa na Prince Dube hahitaji kurudi kambi ya Azam kwakuwa anataka kuondoka klabuni hapo, Azam wanasisitiza kuwa bila USD 300,000 hatamuachia Prince Dube.
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Prince Dube yamefikia hatua hiyo na Prince Dube atarudi tena mezani na Azam siku mbili zijazo ili kukamilisha taratibu zote zilizopo za kimkataba ili aondoke Azam.
===
Pia soma:
- Rasmi: Prince Dube aachana salama na Azam FC
- Prince Dube kila kitu Azam FC