Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

Kitu walicho kosea Azam ni kutangaza kiasi Cha pesa, Hakuna pesa utakayo tajwa watu wakashindwa kulipia.
Kama kweli wanahitaji kiasi icho, wiki haitamalizika iyofedha watapewa.

Wakati wa sakata la Feisali, tulionya mamlaka (TFF) mchezo huu wanao Fanya Azam utakuja kuleta shida kubwa uko tunako elekea Tena katikati ya msimu, ndio hiki kinacho tokea.

Kama walivyo umia Yanga kwa kumuachia Feisal wakiwa wanamuhitaji katika mashindano Magumu na wakatoboa.

Na wengine watapitia njia iyoiyo mpaka Tff watakapo kuja na Suluhisho la kudumu.
Litaonekana kosa iwapo tu kama hukuwa na lengo la kutaka mchezaji aondoke.

Na hilo linakuja kama utaona kutaja kiwango cha pesa cha juu ni kama lengo la kuonesha wanamkomoa.

Pengine na nyinyi mlitakiwa mfanye kama hivi kuliko kumg'ang'ania mchezaji ambaye hakuwa tayari kuendelea kucheza kwenu.
 
Wakati wa sakata la Feisali, tulionya mamlaka (TFF) mchezo huu wanao Fanya Azam utakuja kuleta shida kubwa uko tunako elekea Tena katikati ya msimu, ndio hiki kinacho tokea.
Mbona hakuna shida? Dube ameonyesha nia, Azam wakataja kiwango, Dube akataja alicho nacho, Azam wakasisitiza kilichopo kwenye mkataba, Dube akaahidi kurudi tena kwa mazungumzo. Mimi naona mambo yanakwenda shwari kabisa, ni tofauti na lile sakata la Feisal ambapo klabu ilikuwa haitaki kiwango ilichoandika yenyewe kwenye mkataba
 
Katikati ya msimu mchezaji anaibuka kuvunja mkataba alikua wapi kipindi cha dirisha dogo au kuna ugumu gani akisubiri msimu uishe?
Kwani wakati wa dirisha dogo ndio asingeambiwa atoe hiyo 700M?

Hapo suluhu ilikuwa ni kusubiri mkataba wake uishe ndio angeweza kuepuka hicho kikombe cha kulipishwa hiyo mihela
 
Wapi nmeongea habari za pesa mbona una kurupuka?
 
Na kitu kizuri zaidi huu ni mwanzo Tu...
Nina habari za uhakika Kipre nae atafanya hivi ni swala la Muda Tu ngoja Hili la Dube liishe linakuja kubwa zaidi.. [emoji16]
Kipre atimke tu hastahili kuwa kwenye timu isiyo na amsha amsha
 
Wapi nmeongea habari za pesa mbona una kurupuka?
Muda wowote mtu anaweza kuvunja mkataba bila kujalisha katikati ya msimu au mwisho wa msimu.

Ugumu anaokutana nao saizi Dube unatokana na hicho kiasi alichotajiwa kulipa.

Sasa wewe unasema kwanini asisubiri mwisho wa msimu as if katika hizo nyakati hatotakiwa kulipa hiyo hela ambayo saizi imekuwa mtihani kwake.
 
Ipo siku wachezaji first 11 watataka kuvunja mikataba yao kwa kuwa release clause inaruhusu huku timu ikizuiwa kusajili wachezaji wapya hadi dirisha dogo au msimu ukiisha.
Kinachoenda kutokea saizi ni mikataba yenye release clause za kihispania 😂 mchezaji wa kawaida tu ila release clause ni 5B
 
Chukua Dube afu malizia na Akaminko
 
Muda wowote mtu anaweza kuvunja mkataba bila kujalisha katikati ya msimu au mwisho wa msimu.

Ugumu anaokutana nao saizi Dube unatokana na hicho kiasi alichotajiwa kulipa.

Sasa wewe unasema kwanini asisubiri mwisho wa msimu as if katika hizo nyakati hatotakiwa kulipa hiyo hela ambayo saizi imekuwa mtihani kwake.
Timu ipo kwenye mashindano anaibuka mchezaji anataka kuvunja mkataba replacement ya huyo mchezaji itafanyika vipi mbona mambo mengine ni ya kutumia akili tu
 
Ndio maana kuna hiyo faini.

Club haiwezi kumzuia mchezaji akitaka kuondoka ila inaweza kuweka mazingira magumu ya kumbana mchezaji ili ashindwe kuchukua hayo maamuzi kirahisi.
 
Kitu walicho kosea Azam ni kutangaza kiasi Cha pesa, Hakuna pesa utakayo tajwa watu wakashindwa kulipia.
Kama kweli wanahitaji kiasi icho, wiki haitamalizika iyofedha watapewa.

Wakati wa sakata la Feisali, tulionya mamlaka (TFF) mchezo huu wanao Fanya Azam utakuja kuleta shida kubwa uko tunako elekea Tena katikati ya msimu, ndio hiki kinacho tokea.

Kama walivyo umia Yanga kwa kumuachia Feisal wakiwa wanamuhitaji katika mashindano Magumu na wakatoboa.

Na wengine watapitia njia iyoiyo mpaka Tff watakapo kuja na Suluhisho la kudumu.
Unaandika yote haya halafu mwisho wa siku dube anaenda kucheza soka south africa na sio timu za kkoo! Sijui utajiskiaje? Muwe mnakumbuka kuweka akiba ya maneno
 
Bado Akaminko tu kuja kusaidizana majukumu na ndugu yake Aucho. Kisasi kitalipwa tu.
 
Back
Top Bottom