Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Habari wakuu,

Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.

Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kama
IMG_4744.jpeg
wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
 
Tabora waliwekewa million 100 na Mo
Mi nilidhani kauli za namna hii ziko kwa mashabiki wa simba tu kama mnavyodai kumbe wote ni wale wale, kwani hao tabora walipozifunga timu zingine waliwekewa hela na nani, kikosi kinachojiita kipana kinasingizia kilifungwa kwa sababu hiyo..pathetic!!
 
Tulia kolo
 
Sahihi vipi lakin wewe hiyo pesa unaingiza baada yasiku ngapi

Kwahiyo wewe mitikasi yako unaingiza million mbili kwa dakika 90, acha ujuaji mzee.
Msiendekeze umaskini. Kuna mtu zinapata hiyo hela wakiwa wamelala, nyie mnaongelea wachezaji pro wa mpira wanaovuja jasho, kupigana vikumbo na kuvunjana uwanjani. Mchezaji anakimbia zaidi ya kilomita 10 ndani ya dakika 90.
 
Back
Top Bottom