Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

Habari wakuu,

Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.

Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kamaView attachment 3186874 wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
Napendekeza wapewe Hela zao,haraka sana.
Mimi Niko bar hapa toka asubuhi nishajilewea.
 
Tabora waliwekewa million 100 na Mo
Wacha weeeeh......hii tulisema tuseme hivyo kwenye group nawe ukaibeba mpaka leo?so unataka Mo Dewj apate sifa kwa ushindi wa Tabora? Leo Singida kashinda? We mkia bwege sana. Ukikaa na Mo Dewj ndo mnadanganyana hivyo?
 
Back
Top Bottom