Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wacha weeeeehh....ikawaje?😁Tabora waliwekewa million 100 na Mo
Mi nilidhani kauli za namna hii ziko kwa mashabiki wa simba tu kama mnavyodai kumbe wote ni wale wale, kwani hao tabora walipozifunga timu zingine waliwekewa hela na nani, kikosi kinachojiita kipana kinasingizia kilifungwa kwa sababu hiyo..pathetic!!Tabora waliwekewa million 100 na Mo
Tulia koloMi nilidhani kauli za namna hii ziko kwa mashabiki wa simba tu kama mnavyodai kumbe wote ni wale wale, kwani hao tabora walipozifunga timu zingine waliwekewa hela na nani, kikosi kinachojiita kipana kinasingizia kilifungwa kwa sababu hiyo..pathetic!!
Sahihi vipi lakin wewe hiyo pesa unaingiza baada yasiku ngapiMilioni 50 ukiigawa kila mchezaji anaondoka na chini ya milioni 2. Mpira wetu bado wa kimaskini sana.
🤣🤣🤣Sahihi vipi lakin wewe hiyo pesa unaingiza baada yasiku ngapi
Kwahiyo wewe mitikasi yako unaingiza million mbili kwa dakika 90, acha ujuaji mzee.Milioni 50 ukiigawa kila mchezaji anaondoka na chini ya milioni 2. Mpira wetu bado wa kimaskini sana.
Watu wanaingiza kwa dakika 90 yeye anasema ni ndogoSahihi vipi lakin wewe hiyo pesa unaingiza baada yasiku ngapi
Na wakazipataTabora waliwekewa million 100 na Mo
Nani aliwekewa hela ili gamondi atimuliwe?Tabora waliwekewa million 100 na Mo
Sahihi vipi lakin wewe hiyo pesa unaingiza baada yasiku ngapi
Msiendekeze umaskini. Kuna mtu zinapata hiyo hela wakiwa wamelala, nyie mnaongelea wachezaji pro wa mpira wanaovuja jasho, kupigana vikumbo na kuvunjana uwanjani. Mchezaji anakimbia zaidi ya kilomita 10 ndani ya dakika 90.Kwahiyo wewe mitikasi yako unaingiza million mbili kwa dakika 90, acha ujuaji mzee.