Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Sawa mkuu.Msiendekeze umaskini. Kuna mtu zinapata hiyo hela wakiwa wamelala, nyie mnaongelea wachezaji pro wa mpira wanaovuja jasho, kupigana vikumbo na kuvunjana uwanjani. Mchezaji anakimbia zaidi ya kilomita 10 ndani ya dakika 90.
Medula OblangataKigogo ndio Madelu?
Mkuu jamaa yupo sawa, hata kama yeye hatengenezi hiyo pesa ndani ya mwaka ila yupo sawa, bado mpira wetu upo chini kimaslahi but unakua vizuri.Kwahiyo wewe mitikasi yako unaingiza million mbili kwa dakika 90, acha ujuaji mzee.
Napendekeza wapewe Hela zao,haraka sana.Habari wakuu,
Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo.
Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kamaView attachment 3186874 wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
MkumboKigogo ndio Madelu?
Wacha weeeeh......hii tulisema tuseme hivyo kwenye group nawe ukaibeba mpaka leo?so unataka Mo Dewj apate sifa kwa ushindi wa Tabora? Leo Singida kashinda? We mkia bwege sana. Ukikaa na Mo Dewj ndo mnadanganyana hivyo?Tabora waliwekewa million 100 na Mo
Wapatie sasaNa mimi nitawaongezea elfu 10 wakishinda.