Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Kwani kunakuwa na refa kwenye hii michezo?

Au Foul ukipigia nje?
 
Dunia Ina mambo, nadhani yameanza Leo mashindano haya. Ni vema mleta Uzi ungeupdate na tupicha maana najua huko kwingineko linaweza kukawa tayari kunaupdates. Ukizingatia ni Mchezo mpya katika mashindano duniani.
 
Hii kwetu Simba ndio mchezo tutakaofanya vizuri!
 
Tumpeleke mzabzab akaliwakilishe taifa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Kwani National Anthem anasemaje....
Mzee wa kupambania
dronedrake

😊☺️☺️😊🤓🤓
 
MKUYATI
PUTURURU
VUMBI LA KONGO
VIKS
GIDEMBWE
BANIZA
VEKULE
SARANGE
SPERA
SADENGE
VIZIKALI

HAWATOOOKIII
VICKS gani hiyo? Kama ni hii ya mafua mbona kama chachu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
 
Wazungu sasa wanavuta mipaka baada ya kuchezea movies za ngona na sisi kuangalia kwa vificho sasa wamekuja na mashindano kama WWE ngono inapigwa ulingoni hadI mshindi apatikane.

Yameanza rasmi leo alhamisi
 

Attachments

  • IMG-20230607-WA0040.jpg
    98.1 KB · Views: 8
Hawa wabongo hamieni Uswidi
 

Attachments

  • Screenshot_20230608-195336_Twitter.jpg
    51.4 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230608-195316_Twitter.jpg
    91.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230608-195258_Twitter.jpg
    82.5 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…