Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
wazungu wako huru sana..
warm up ndio hizooo🙌🙌
warm up ndio hizooo🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewaita majudges, kimsingi ni marefa. Maana wanatoa maamuzi nani asonge mbele na yupi mshindi.Kwani kunakuwa na refa kwenye hii michezo?
Au Foul ukipigia nje?
Tumpeleke mzabzab akaliwakilishe taifa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya..
My Take
Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu..
=======
Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na vigezo vyake
Inaelezwa kuwa michuano husika inatarajiwa kuanza Juni 8, 2023 ikiwa chini ya Swedish Sex Federation.
Michuano hiyo itaendeshwa kwa wiki kadhaa ambapo washiriki watatakiwa kushindana kwa muda wa saa sita kila siku, ambapo washiriki 20 kutoka katika Nchi tofauti wameomba kushiriki
Washindi watapatikana kupitia majaji watatu pamoja na uamuzi wa watazamaji
=============
Sweden has become the first country in the world to officially register sex as a sport and will also host the first-ever European Sex Championship in Gothenburg on June 8.
The championship which will take place under the guidance of the Swedish Sex Federation, will go on for six weeks with participants engaging in sexual activities under 16 disciplines, including seduction, oral sex, penetration, and more.
First-ever European Sex Championship: All you need to know
The European Sex Championship will begin on June 8 and will go on for six weeks where participants will engage in sexual activities from 45 minutes to 1 hour each day with their matches and/or activities. The duration will vary depending on the match, however, some reports said that the competitions can go on for as long as six hours a day.
Source: Wion
===============
In Sweden, sex is now a sport, first European Sex Championship to be held soon
The world will have its first sex championship in Europe with set rules, regulations and criteria! Find out what it's all about.
In a world where so many countries do not let you talk about sex openly, Sweden is now turning it into a sport! The first European Sex Championship will be held on June 8 by the Swedish Sex Federation.
The Championship will span over several weeks and will feature participants competing for 6 hours every day. According to reports, the participants will have 45 minutes to an hour to engage with their matches or activities.
Talking about the participants, 20 people from different countries have applied for the Championship now. The winners will be determined through three juries and audience ratings. In each discipline, participants can score between 5 and 10 points. The contestants will compete in 16 disciplines which include seduction, oral sex, penetration, appearance, body massages, exploring erotic zones, position changes, creativity in the positions, number of orgasms and endurance.
The European Sex Championship values diversity and accepts competitors of any gender or sexual orientation. The organisers have emphasised that sexual orientation can play a strategic role in this sport, which they believe will be adopted by other European countries in the future.
“The incorporation of sexual orientation as a part of sporting tactics will be a groundbreaking development among European countries,” stated the competition organiser.
Dragan Bratych, president of the Swedish Federation of Sex, expressed his belief that the recognition of sex as a sport was inevitable. He highlighted the potential for physical and mental well-being through sexual activity, emphasizing the importance of training.
“Just like any other sport, achieving desired results in sex requires training. Therefore, it is only logical for people to start competing in this domain as well,” Bratych explained to the media.
Source: Timesofindia
Si hadi walambe vumbi la Congo. Maanake hakuna Mtanzania mwenye afya ya kumeza viagra.Nauhakika Tanzania watachukua medali
VICKS gani hiyo? Kama ni hii ya mafua mbona kama chachu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]MKUYATI
PUTURURU
VUMBI LA KONGO
VIKS
GIDEMBWE
BANIZA
VEKULE
SARANGE
SPERA
SADENGE
VIZIKALI
HAWATOOOKIII
Nawaza tu watazamaji wakizidiwa itakuwaje ukumbini?Hatari sana
Ije na bongo
Watapinwa,dawa za kusisimua misuli.zimepigwa marufukuSi hadi walambe vumbi la Congo. Maanake hakuna Mtanzania mwenye afya ya kumeza viagra.
🤣 🤣 🤣 🤣Hamna cha ajabu hapo, sisi tunajifungia ndani, wao wanafanyia nje
Tanzania yenyewe imejaa watu wajinga wajinga tu, unataka nani ashiriki Tanzania msiposhiriki ?Tanzania haiwezi shiriki mambo ya kijinga