Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Naunga mkono hoja,hakuna uhusiano kati ya dini na nuru
Ni ajabu, wazungu ambao ndio walitunga dini wanaamua kuachana nayo na kuonyesha kwamba ulikua ni utapeli halafu walioipokea wanajifanya wanaijua kuliko walioitunga, waafrika wanajifanya wao ndio wanamjua mungu kuliko wazungu waliomtengeneza na kumtunga.
 
Hakuna binadam anaejua wote tuna Imani tu vichwani ...we unaamini hayupo mwenzio anaamini yupo wote hatujui tunaamini tuu
Wewe ndio unaamini. Kuanimi maana yake ni kwamba umekubali wewe ni mjinga. Mimi siamini mungu hayupo, nina uhakika hayupo.
 
Jahazi linaenda kuzama[emoji23]
 
Wewe ndio unaamini. Kuanimi maana yake ni kwamba umekubali wewe ni mjinga. Mimi siamini mungu hayupo, nina uhakika hayupo.
Bas tuseme Kuna muumba tusitumie neno mungu mana hii Dunia hujaiumba wewe
 
Dunia iliishakwisha, kuna mtandao/ app inaitwa only fans, Watu wanatengeneza pesa kwa upload home made porn. Kwa Afirica nadhani 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 hawa wenzetu tumeisha wapoteza ndio uchumi wao kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…