Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Naunga mkono hoja,hakuna uhusiano kati ya dini na nuruDini ilikua ni utapeli toka mwanzo, sema waafrika ndio tumeichukulia serious ila ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja,hakuna uhusiano kati ya dini na nuruDini ilikua ni utapeli toka mwanzo, sema waafrika ndio tumeichukulia serious ila ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
akayabagu, akabenako,fantas,eloko ya mibaliMKUYATI
PUTURURU
VUMBI LA KONGO
VIKS
GIDEMBWE
BANIZA
VEKULE
SARANGE
SPERA
SADENGE
VIZIKALI
HAWATOOOKIII
Aisee🙆Mungu hayupo achana na imani za kitaahira.
Hakuna binadam anaejua wote tuna Imani tu vichwani ...we unaamini hayupo mwenzio anaamini yupo wote hatujui tunaamini tuuNaunga mkono hoja,hakuna uhusiano kati ya dini na nuru
Ni ajabu, wazungu ambao ndio walitunga dini wanaamua kuachana nayo na kuonyesha kwamba ulikua ni utapeli halafu walioipokea wanajifanya wanaijua kuliko walioitunga, waafrika wanajifanya wao ndio wanamjua mungu kuliko wazungu waliomtengeneza na kumtunga.Naunga mkono hoja,hakuna uhusiano kati ya dini na nuru
Wewe ndio unaamini. Kuanimi maana yake ni kwamba umekubali wewe ni mjinga. Mimi siamini mungu hayupo, nina uhakika hayupo.Hakuna binadam anaejua wote tuna Imani tu vichwani ...we unaamini hayupo mwenzio anaamini yupo wote hatujui tunaamini tuu
Hatare Sana mkuu....tuanze kuandaa mzigo mapemaNaliona vumbi la congo aka mundende likipaa kimasoko kwenye hii michuano
Kila kitu kitakuwa consideredIna maana styles zote zinafundishwa? Itakuwaje? Ila Mungu karuhusu kifo Cha mende.
Vigezo ulivyotumia uwe na uhakika ni vipi ??Wewe ndio unaamini. Kuanimi maana yake ni kwamba umekubali wewe ni mjinga. Mimi siamini mungu hayupo, nina uhakika hayupo.
Wanaita democracyNamna mwanadamu alivyo, hutunga sheria kwa kufuatana na tamaa zake binafsi.
Uta faint mkuu.....andaa pumziMimi Kama Lexington Steele, nitashiriki
Jahazi linaenda kuzama[emoji23]Sweden ilikuwa nchi ya kikristo kwelikweli mpaka ikawa na raia wake wanaoneza neno la Mungu Afrika kama Free Swedish Mission ambao walikuwapo Tanzania tangu miaka ya 50, ni hivi miaka ya karibuni serikali ya huko iliacha kutoa fedha kwa wamisionari wa sweden ikabidi makanisa ya Tanzania ambayo yalikuwa yanapata misaada waswiden yaanze kujisaidia yenyewe. Sasa huko nuru ilikochomoza na kuja afrika ndio giza limeingia huko, yaani ulaya yote sasa ni giza nene limetanda ushetani umetamalaki. Wanajifanyia mambo ya ajabu
Bas tuseme Kuna muumba tusitumie neno mungu mana hii Dunia hujaiumba weweWewe ndio unaamini. Kuanimi maana yake ni kwamba umekubali wewe ni mjinga. Mimi siamini mungu hayupo, nina uhakika hayupo.
🤣🤣Hapo Lazima Mzizima Team ipewe ndege
Mungu yupo ...... evidence ni uwepo wa miujiza ( magic)Dini ilikua ni utapeli toka mwanzo, sema waafrika ndio tumeichukulia serious ila ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Tuanze kutafuta visaHatimaye waafrika wamefikiwa.
Yajayo yanafurahisha......uko tayariiiiiiiii[emoji15]
Dunia iliishakwisha, kuna mtandao/ app inaitwa only fans, Watu wanatengeneza pesa kwa upload home made porn. Kwa Afirica nadhani 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 hawa wenzetu tumeisha wapoteza ndio uchumi wao kwa sasa.Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya..
My Take
Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu..
=======
Sweden has become the first country in the world to officially register sex as a sport and will also host the first-ever European Sex Championship in Gothenburg on June 8.
The championship which will take place under the guidance of the Swedish Sex Federation, will go on for six weeks with participants engaging in sexual activities under 16 disciplines, including seduction, oral sex, penetration, and more.
First-ever European Sex Championship: All you need to know
The European Sex Championship will begin on June 8 and will go on for six weeks where participants will engage in sexual activities from 45 minutes to 1 hour each day with their matches and/or activities. The duration will vary depending on the match, however, some reports said that the competitions can go on for as long as six hours a day.
Source: Wion