Unaamini kwamba angekuepo tungejuaSuala la kua Mungu hayupo sio Imani. Ni kweli hayupo angekuepo tungejua bila kufundishwa makanisani na misimitini. Na binadam wote tungekua na Imani moja.
Tulia weweee
Ndio BossMshindi
Unaamini kwamba angekuepo tungejua
Ndio Boss
[/QUOTE
ajenda za Nato
Dan 2 na ndoto ya mfalme nebukadrezaDunia Simama Nishuke 🤔
Unadhani Sweden Kama hapo Kiembesamaki?Uhuru bila mipaka
Wahindi wamezidi tena mbona Hakuna tv yoyote ya West iliyotangazau?
Hao Wazungu waache waendelee kuhalalisha dhambi, watakuja kushangaa Peponi tumejaa Wabongo tupu, na Kwasisi Waislam tutakuwa na wale Wanawake 72 tutakaopewa.Unadhani Sweden Kama hapo Kiembesamaki?
Hao Wazungu waache waendelee kuhalalisha dhambi, watakuja kushangaa Peponi tumejaa Wabongo tupu, na Kwasisi Waislam tutakuwa na wale Wanawake 72 tutakaopewa.
Wao itakuwa zamu yao kula kwa Macho [emoji12]