Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Mshindi
Suala la kua Mungu hayupo sio Imani. Ni kweli hayupo angekuepo tungejua bila kufundishwa makanisani na misimitini. Na binadam wote tungekua na Imani moja.
Unaamini kwamba angekuepo tungejua
 
Mungu niokoe mimi na kizazi changu !

Niishi HADI pale kusudi lako litakapotimia mimi na kizazi changu!!

Hasira YAKO iniepuke eeh Mungu mwenyezi utuponye kwakweli!!!!

Maoni baada ya maombi


Mungu atajibu KWA mapigo makali,ni Rasmi SASA hasira yake itafurika Duniani hawezi vumilia!!
 
I'm just trying to figure out life after 10 years ahead [emoji848][emoji848].

Anyway binadamu siku zote anataka kile kitu ambacho hana.
 
Daaaaah kwa nn michuano Kama hii imechelewa, ingenikuta kwenye ubora wangu wa ujana ningeuthibitishia umma kwamba watanzania tuna vipaji.... hahahahahaha utani tuu wadau
 
Watuwekee kwnye betting company ili tumfumue kanji kwa kipindi hk ambacho ligi nying zmeisha
 
muyaonapo hayo, changamkeni, jueni ya kuwa yu malangoni. Yesu amekaribia kuja tena kulichukua kanisa lake, Mungu ameamua kuyaanika yote yaliyokuwa yakifanywa gizani ili pengine watu wafahamu na kujua majira haya, labda watageuka na kuokoka. hii yote ni ili pengine waponye nafsi zao na wasijepata nafasi yeyote ya kujitetea siku ile. wewe uliye mzima na unaweza kuongea, mkiri Yesu leo uokoke ili uepuke hukumu ile iliyo karibu sana kuja.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Unadhani Sweden Kama hapo Kiembesamaki?
Hao Wazungu waache waendelee kuhalalisha dhambi, watakuja kushangaa Peponi tumejaa Wabongo tupu, na Kwasisi Waislam tutakuwa na wale Wanawake 72 tutakaopewa.

Wao itakuwa zamu yao kula kwa Macho 😜
 
Hao Wazungu waache waendelee kuhalalisha dhambi, watakuja kushangaa Peponi tumejaa Wabongo tupu, na Kwasisi Waislam tutakuwa na wale Wanawake 72 tutakaopewa.

Wao itakuwa zamu yao kula kwa Macho [emoji12]

Yaani jitihada zako kuisaka pepo zimechagizwa na wanawake 72 tu.!
 
Back
Top Bottom