Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuta ya Mwamposa si yapoVigezo ni pamoja na kupimwa afya ya magonjwa yote, mkumbuke
Sweden imekuwa nchi ya kwanza duniani kusajili rasmi ngono kama mchezo na pia itakuwa mwenyeji wa michuano ya kwanza ya ngono ya Ulaya huko Gothenburg mnamo Juni 8.
Michuano hiyo ambayo itafanyika chini ya uongozi wa Shirikisho la Jinsia la Sweden kwa wiki sita huku washiriki wakijihusisha na vitendo vya ngono ikiwa ni pamoja na kutongozana, ngono ya mdomo, kuingiliana na zaidi.
Nb: Nini maoni Yako kwenye hili[emoji23][emoji23]View attachment 2645943
Unataka uchangamkie fulsa [emoji23]Nauli bei gani huko aisee
Hi ni fursaApeleke Congo dust.....apige pesa nyingi[emoji23]