National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Ahahhaha nahisi utakuw refa ๐๐CHAPUTA lini nao wanapata ligi yao?
Vita ya 3 itokee wapi[emoji2368]Vita vya tatu vya dunia vinavyokuja (Russia vs Ukraine) ndio yatakuwa maangamio na adhabu kutoka kwa Mungu kwa nchi hizo za ulaya.
Kama watu wa mkoani tutawawakikisha ila sio Wala chips wa DarNauhakika Tanzania watachukua medali
tafazali ntoe hapo,
Hatimaye wazinzi wakumbukwa na tume ya huko sweden ili kuhitimisha lile andiko,mwizi na aendelee kuiba na wazinzi waendelee kuzini.....ili hukumu ikipita asiwepo wa kujiteteaSweden imekuwa nchi ya kwanza duniani kusajili rasmi ngono kama mchezo na pia itakuwa mwenyeji wa michuano ya kwanza ya ngono ya Ulaya huko Gothenburg mnamo Juni 8.
Michuano hiyo ambayo itafanyika chini ya uongozi wa Shirikisho la Jinsia la Sweden kwa wiki sita huku washiriki wakijihusisha na vitendo vya ngono ikiwa ni pamoja na kutongozana, ngono ya mdomo, kuingiliana na zaidi.
Nb: Nini maoni Yako kwenye hili[emoji23][emoji23]View attachment 2645943
Hatare mzeekazi kwelikweli
Duniani Kuna mengiWapuuzi sana hao!!
Vp unataka kuwahi seatsUtaratibu wa kupata uraia wa Sweden upoje [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23]
Unaenda na full packages ya tangawizi, karanga na Congo dust [emoji23][emoji23]huu ndio muda muafaka wa kuomba uraia wa huko
It's about democracy's perspectivesSodoma na gomora