Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Evolution of civilization... Sema nchi hizi za Nordic ndio nchi ambazo starehe ya ngono ilikuwa legal tokea Miaka ya 1960s huko na ndio nchi za kwanza kwanza duniani ku legalize mapenzi ya jinsia moja . [emoji58][emoji58]
 
Bora kuliko kushindana kwenye mavita na mabomu, mabunduki kama Urusi na Ukraiine, ni bora vita ya Ngono. Africa ikirasimishwa tuombe vita ya kirafiki na Kagame
 
#MonMedia
Katika hali isiyo ya kawaida

Nchi ya Sweden yapitisha rasmi ngono kuwa mojawapo ya michezo(sports), shindano la kwanza la kihistoria la ligi hiyo ya Ulaya kuanza tarehe 8 mwezi huu

Ripoti husika iliyosambaa imedai kuwa shindano litafanyika kwa wiki sita ambapo kwa siku wanamichezo wa ngono watatumia masaa sita kushiriki ngono kadhaa wa kadhaa kwa vitendo na kila mechi moja mwanangono anatakiwa kutumia japo kuanzia dakika 40 hadi saa zima pia kutakuwa na vipengele mbalimbali kwa wanangono watakaoshiri 😳

Kutakuwa na jopo la majaji watakaoamua washindi na pia maoni ya watazamaji au mashabiki watakaokuwa wakishuhudia live mtanange husika kwenye "viwanja vya ngono" vitakavyopitishwa 😳, ambapo moja ya vigezo vitakavyoangaliwa kupata washindi ni pamoja na ujuzi na utundu wa tendo ikiwemo 'kugusa penyewe' pamoja na uvumilivu kwa watakaoshiriki wawapo kwenye tendo, mshiriki atakayejizolea points nyingi anaenda hatua nyingine ya juu ya shindano

Inadaiwa shindano husika litafuata taratibu na litakuwa chini ya shirikisho la ngono nchini humo ambapo kiongozi wa shirikisho amedaiwa kukaririwa akikiri kuwepo shindano husika 😳

Baada ya taarifa kusambaa kwenye vyombo vingi vya habari nchi mbalimbali, taharuki imeonekana kuibuka kila mtu anasema lake huku wengine wakiingiwa na shaka

1685891967874.png
 
Sodoma na Gomora
Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya..

My Take
Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu..

=======

Sweden has become the first country in the world to officially register sex as a sport and will also host the first-ever European Sex Championship in Gothenburg on June 8.

The championship which will take place under the guidance of the Swedish Sex Federation, will go on for six weeks with participants engaging in sexual activities under 16 disciplines, including seduction, oral sex, penetration, and more.

First-ever European Sex Championship: All you need to know
The European Sex Championship will begin on June 8 and will go on for six weeks where participants will engage in sexual activities from 45 minutes to 1 hour each day with their matches and/or activities. The duration will vary depending on the match, however, some reports said that the competitions can go on for as long as six hours a day.

Source: Wion
Sodoma na Gomora,,,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Nchi ya Sweden ndo imekua ya kwanza kupeleka wachezaji wa kucheza ngono kama mchezo rasimi na nchi zamagharibi nyingi zimeutambua ziko tayari kushiriki kwenye huo mchezo mpya wakimataifa.
Lakini mimi kwangu naona kama hizi ni kampaini za kuzalilisha utu wa mwanaume na ku-promote ushoga.
Screenshot_20230605-072408_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom