Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Nauliza tena.

Hao jamaa wa upinde nao wamekumbukwa kwenye huo mchezo ?
Au na huku wananyimwa haki zao za msingi za kibinadamu na kubaguliwa ?

Ubarozi wa Marekani unasemaje kuhusu huu ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu ?
 
Naomba Ndege itolewee harakaa, lazima nikarudi na tuzo ya uchezaji bora wa mashindano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaaa
 
Huu mchezo ukiletwa bongo siku ya mechi uwanja utajaa washiriki tu hakuna anayetaka kuwa shabiki. Si kocha wala si refarii ni mwendo wa kupakua utelezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Naomba Ndege itolewee harakaa, lazima nikarudi na tuzo ya uchezaji bora wa mashindano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaaa

Unajuaa au unataka kwenda kuliabisha taifa [emoji19]lazim tuwe seriously kwenye hili [emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchezaji bora ni wangu. Ndege itolewe harakaa.
 
Naomba Ndege itolewee harakaa, lazima nikarudi na tuzo ya uchezaji bora wa mashindano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaaa
utamwagwa uharo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchezaji bora ni wangu. Ndege itolewe harakaa.

Ni ufanyajiiii [emoji23]xx inabid tukueke kambi ili tukufunze mambo mengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda mie niwaweke kambi nyie niwafunze msivyo wahi kuvijua wala kuviona.

Nilishavuka level hizo zaman sana.
 
Bila kocha hutoboi trust me utatoka makundi[emoji23][emoji23]unless unataka ukazamie uko [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sas unadhan nikitimba kulee narudi tena huku? Ntatafuta na team inisajiri kabisaa, kocha uwe wee sasa?
Warm up enyewe ni match tosha. Woiiiiiih
 
Back
Top Bottom