Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Sasa wanakosajee hao ndo walengwa hasa na watakuwa live.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah...
Hii ni dunia nyingine kabisa.

Enzi za ujanja wetu huwezi kuliona paja la mwanamke.

Leo tunashuhudia mambo Live Kabisa.
Mimi bora nife tu kuliko kushuhudia huu ujahili.
 
Dah...
Hii ni dunia nyingine kabisa.

Enzi za ujanja wetu huwezi kuliona paja la mwanamke.

Leo tunashuhudia mambo Live Kabisa.
Mimi bora nife tu kuliko kushuhudia huu ujahili.
Dunia imefunguliwa, watu wanakua wanachotaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba Ndege itolewee harakaa, lazima nikarudi na tuzo ya uchezaji bora wa mashindano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaaa
Straight au Anal sex?
 
Waafrika watabeba kombe kila mwaka...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sas unadhan nikitimba kulee narudi tena huku? Ntatafuta na team inisajiri kabisaa, kocha uwe wee sasa?
Warm up enyewe ni match tosha. Woiiiiiih

Hapo tushaelewana xx [emoji23][emoji1787]kikubwa ni tuanze mazoezi mapema iwezekanavyo.
 
muyaonapo hayo, changamkeni, jueni ya kuwa yu malangoni. Yesu amekaribia kuja tena kulichukua kanisa lake, Mungu ameamua kuyaanika yote yaliyokuwa yakifanywa gizani ili pengine watu wafahamu na kujua majira haya, labda watageuka na kuokoka. hii yote ni ili pengine waponye nafsi zao na wasijepata nafasi yeyote ya kujitetea siku ile. wewe uliye mzima na unaweza kuongea, mkiri Yesu leo uokoke ili uepuke hukumu ile iliyo karibu sana kuja.

Acha illusions zako,michezo hii imechezwa sana na falme za zamani,hakuna jipya ni maboresho tu.
 
Nauliza tena.

Hao jamaa wa upinde nao wamekumbukwa kwenye huo mchezo ?
Au na huku wananyimwa haki zao za msingi za kibinadamu na kubaguliwa ?

Ubarozi wa Marekani unasemaje kuhusu huu ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu ?
Mwanaume haki yako nikula sio kuliwa, kufukuliwa mtalo sio haki yako mkuu tafuta demu umpelekee moto acha usenge
 
Mwanaume haki yako nikula sio kuliwa, kufukuliwa mtalo sio haki yako mkuu tafuta demu umpelekee moto acha usenge
Wewe Hakika Unakiuka Haki Za Binadamu.
Sio vizuri hata kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom