Kumekucha, Ukraine walipua nyambizi (sub-marine) na meli ya kivita ya Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Haya madubwana yamepigwa kizembe sana, aisei Urusi ilijiingiza kwenye aibu.

Attack on Russian submarine is unique event – media

Ukraine's attack on the ships of the Russian Black Sea Fleet in occupied Sevastopol can be considered a great success: a large landing ship was hit for the third time, and a submarine was hit for the first time.

It is about putting out of order for a long time or even completely destroying the Minsk large amphibious assault ship and the Rostov-on-Don diesel-electric submarine. Russian media report that these two were damaged during a night attack on Russian-occupied Sevastopol while in a dry dock.

And if the defeat of a large amphibious ship happened for the third time, the defeat of a submarine is a unique situation that has made history, Defense Express says.

"The fact is that Ukraine does not have full-time capabilities to fight Russian submarines.

A submarine is an extremely difficult target, which requires a whole complex of means with anti-submarine ships, aircraft and helicopters, and own submarines. But there is simply nothing of the above in Ukraine now.

Pravda.com.ua
 
Nilichogundua Russia ana vita kali sana pia ya Wanajeshi wake kutoa siri kama yule mwanajeshi aliekimbia na Chopa ikiwa na silaha za kutosha na wanajeshi wanne ndani yeye kapewa zawadi hao wengine watarudishwa...hii vita haina maana Putin alishauriwa vibaya na Prigozhin leo hii anaomba msaada kwa kiduku...
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
 
Kabla hajaanzisha vita hiyo ya kijinga hakuyajua hayo?Akili zake nyembamba kama tishu huyo "mtu mrefu"!
 
Russia iimarishe Uchumi wake tu akina ukraine and the like watajusalimisha kwake wenyewe.
 
Kabla hajaanzisha vita hiyo ya kijinga hakuyajua hayo?Akili zake nyembamba kama tishu huyo "mtu mrefu"!
Nilikua namkubali sana Putin kwa misimamo yake ila alipojiingiza kwenye hii vita nimemuona kavu sana anahangaika kuomba misaada huku Taifa lenye nguvu likiwa linatekea kwa Uchumi wahuni wamempelekea kete mbovu kaingia kwenye vita kuijenga tena Urusi kuwa kama mwanzo sio leo....
 
Na ndiyo hapo nimekueleza,hakujua kitakachotokea akianzisha vita bila kutafakari kwa akili?Wanamrefushia muda wa vita makusudi ili wamnyong'onyeze kiuchumi na kijeshi.Crippling the fool!
Mkuu sema kwa kuwa una chuki binafsi na Putin!
Lakini Putin anaitengeneza dunia, iwe mahali ambapo kila Taifa litajiamria mambo yake bila kuingiliwa na Mabeberu (US na EU) ambao wanataka dunia nzima iwe chini yao!
Pamoja na hiyo vita bado EU countries zinaendelea kuagiza nishati ya Gesi na Mafuta toka Russia!
Kwa hiyo uwezo wa Putin kuendesha vita hiyo bado anao!
 
Lakini Putin anaitengeneza dunia, iwe mahali ambapo kila Taifa litajiamria mambo yake bila kuingiliwa na Mabeberu (US na EU) ambao wataka dunia nzima iwe chini yao!
Wrooong!Anatengenezaje dunia ya watu kujiamulia mambo kwa uhuru huku yeye anavamia wenzie?Si mtumiaji mzuri wa ubongo huyo Putin.Anajidhalilisha tu.
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Unajua maana ya neno "surrender" au umelitumia vibaya?
 
Nilichogundua Russia ana vita kali sana pia ya Wanajeshi wake kutoa siri kama yule mwanajeshi aliekimbia na Chopa ikiwa na siraha za kutosha na wanajeshi wanne ndani yeye kapewa zawadi hao wengine watarudishwa...hii vita haina maana Putin alishauriwa vibaya na Prigozhin leo hii anaomba msaada kwa kiduku...
Urusi kinachoomiza ni uoga wa mabosi kwa Rais.
Hadi sasa kapoteza vingi ambavyo hakuwahi fikiria

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Mziki wa NATO Russia hawauwezi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nilikua namkubali sana Putin kwa misimamo yake ila alipojiingiza kwenye hii vita nimemuona kavu sana anahangaika kuomba misaada huku Taifa lenye nguvu likiwa linatekea kwa Uchumi wahuni wamempelekea kete mbovu kaingia kwenye vita kuijenga tena Urusi kuwa kama mwanzo sio leo....
Anapigana na Ukraine ila imemsumbua hadi kawa omba omba

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sema kwa kuwa una chuki binafsi na Putin!
Lakini Putin anaitengeneza dunia, iwe mahali ambapo kila Taifa litajiamria mambo yake bila kuingiliwa na Mabeberu (US na EU) ambao wanataka dunia nzima iwe chini yao!
Pamoja na hiyo vita bado EU countries zinaendelea kuagiza nishati ya Gesi na Mafuta toka Russia!
Kwa hiyo uwezo wa Putin kuendesha vita hiyo bado anao!
"Kila taifa litajiamria mambo yake" sasa kwann yy anataka kumuamria Ukraine kwenye mambo yake?
Kaa kimya huna unachokijua kwenye hii vita kaa kwa kutulia ushuhudie Supapawa wa mchongo akishikishwa adabu
 
"Kila taifa litajiamria mambo yake" sasa kwann yy anataka kumuamria Ukraine kwenye mambo yake?
Kaa kimya huna unachokijua kwenye hii vita kaa kwa kutuliza ushuhufie Supapawa wa mchongo akishikishwa adabu
Kweli.....yaani anajiuliza halafu anajijibu...yaani utakuwaje huru na wakati wewe mwenyewe unavamia mataifa mengine?...
 
Back
Top Bottom