Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Sasa huoni hio yakila taifa kua huru kuamua inachotaka ndio dunia itakua sehem hatari kuishi kuna marais watajitangazia umungu nahakuna atakae kemeaMkuu sema kwa kuwa una chuki binafsi na Putin!
Lakini Putin anaitengeneza dunia, iwe mahali ambapo kila Taifa litajiamria mambo yake bila kuingiliwa na Mabeberu (US na EU) ambao wanataka dunia nzima iwe chini yao!
Pamoja na hiyo vita bado EU countries zinaendelea kuagiza nishati ya Gesi na Mafuta toka Russia!
Kwa hiyo uwezo wa Putin kuendesha vita hiyo bado anao!