MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Siku Russia ikipambana na NATO itafutika kwenye uso wa dunia, endeleeni kujiliwaza na kujiaminisha vitu vya kuwafariji ila hii Urusi sio ambavyo wengi tuliiogopa, ni hovyo sana.