Kumekucha, Ukraine walipua nyambizi (sub-marine) na meli ya kivita ya Urusi

Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!

Siku Russia ikipambana na NATO itafutika kwenye uso wa dunia, endeleeni kujiliwaza na kujiaminisha vitu vya kuwafariji ila hii Urusi sio ambavyo wengi tuliiogopa, ni hovyo sana.
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Mkuu Ukraine amesha shindwa hii vita ... Achana na propaganda za bbc na cnn ....MAZUNGUMZO ya amani ndio kilicho baki........
 
Wengi ambao tupo upande wa Ukraine, wanatuhisi kama sisi tunamchukia Putin toka huko nyuma, ila wasichojua ni kuwa, tulikuwa tunamuona Putin ni mtu anayejielewa sana.

Kwa bahati mbaya, kupitia hii vita, tumemuona jamaa ni mzinguaji.
 
Nakumbuka nilikua napenda sana hii kauli yake kipindi alikua anawachakaza magaidi ya dini "To forgive a terrorist is up to God, but to send them to God for forgiveness is up to me."
 
Anaitengeneza dunia! Hahaha!
Si angeanza na nyumbani? Nyumbani kwake mwenyewe wananchi hawako huru kujiamulia mambo yao halafu unasema lengo lake ni kuitengeneza dunia.

Kweli mapenzi hupofusha. Mimi nikuambie ukweli mchungu kwamba. Si Mrusi, si mchina wala si mwarabu ambaye anaweza kuwa na nia njema na dunia hata kidogo, ni afadhali west mara kumi kuliko hao niliowataja sema tu hawajapata uwezo wa kuitawala dunia.

Ninazo sababu mia na moja za kusema hivyo
 
= silaha

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Basi wakubaliane na kushusha pesa na maisha yao. Uwezi pambana na mabeberu ukawa salama. Naishia apo
 
20% ya Territory ya Ukraine imechukuliwa na ipewa Uraia wa Russia halafu mna jigamba hapa eti Submarine 1. Hivi unajua how Productive is 20% of Ukraine Land in terms on Revenues, and Natural Resources?
 
Kama mpaka leo hawajafanikiwa kumshikisha adamu, na bado ameyakalia majimbo aliyoyateka, West hawamuwezi!
Isitoshe kwa kuwaonyesha ubabe ameruhusu uchaguzi wa ndani ufanyike katika majimbo aliyoteka na wananchi bado wanamuunga mkono!
"Kila taifa litajiamria mambo yake" sasa kwann yy anataka kumuamria Ukraine kwenye mambo yake?
Kaa kimya huna unachokijua kwenye hii vita kaa kwa kutulia ushuhudie Supapawa wa mchongo akishikishwa adabu
 
Kama mpaka leo hawajafanikiwa kumshikisha adamu, na bado ameyakalia majimbo aliyoyateka, West hawamuwezi!
Isitoshe kwa kuwaonyesha ubabe ameruhusu uchaguzi wa ndani ufanyike katika majimbo aliyoteka na wananchi bado wanamuunga mkono!
Urusi ndio aliyeivamia Ukraine na kwakuwa alikuwa amejipanga kufanya uvamizi huu muda mrefu usitegemee kumuondoa kwenye hayo majimbo ni jambo la muda mfupi hivyo kaa kwa kutulia maana yajayo yanafurahisha mvamizi anashikishwa adabu polepole na mwisho atatema majimbo yote bila kupenda.
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!

For the record nato forces hawapo kwenye frontlines. Nato countries zina provide silaha ,ukraine ndio wana fight.

Huwezi sema nato ,wkt hawana troops on the ground, airforce and navy za natao countries hazipo.
In short nato hawaja commit 100%

Russia ni invincible? Check the record again. Hakuna nchi ambayo ni invinceble kwenye uwanja vita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnatujazia saver ya jamii forrum maana kila siku kuanzisha nyuzi mpya.
 
Wewe bakhresa unaweza kumwita kwako ili uje kumuomba msaada?.

Yani anayeomba msaada kafatwa kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…