Kumekucha, Ukraine walipua nyambizi (sub-marine) na meli ya kivita ya Urusi

Sasa huoni hio yakila taifa kua huru kuamua inachotaka ndio dunia itakua sehem hatari kuishi kuna marais watajitangazia umungu nahakuna atakae kemea
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Wanajeshi wangapi wa NATO wamekufa mpaka sasa??
 
Mbona sasa hataki Ukraine ijiamulie mambo yake??
 
Sasa huoni hio yakila taifa kua huru kuamua inachotaka ndio dunia itakua sehem hatari kuishi kuna marais watajitangazia umungu nahakuna atakae kemea
Ukraine itakuwa na uhuru kiasi wakati itaburuzwa na US kujiunga na NATO ili itumiwe kama njia ya kuishambulia Russia?
 
Haiburuzwi ni kwamba iko huru kuchagua rafiki amtakae sasa Russia analazimisha Ukraine awe nayeye
 
Mataahira hayataelewa
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Ameshashindwa vita anaona aibu kusema
 
This is the end of Putin,this is the end of Russia ,mark my words
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
Leo imekuwaje vita wakati alisema ni operation maalum!? Vipi jasusi hakuwa na taarifa kuwa Ukraine ataungwa mkono na hao mnaosingizia NATO.
 
Sina
Hakika kama unajua lakini ukweli ni huu over 80% ya jeshi lote la Ukrained (skilled & experiemced personel) walishauwawa au wamepata ulemavu wa kudumu.

Wanaopigana wengi ni mercenaries wakiwa na uniform za Ukraine pamoja na recruits ambao hawana combat experience na wachache waliokuwa trained na NATO.

Sasa fikiria ushindi utapatikana wapi.

Kuhusu meli na submarine zilizopigwa zilikua dry land kwa matengenezo(chelezo/sleepway). Hivo kuzitarget ni sawa na kupiga kombora jengo simple hakuna magic
 
Mkuu fahamu Russia inapambana na NATO siyo Ukraine!
Lakini Putin ameshasema Russia is "invincible"! Yaani ni vigumu Russia kushindwa katika vita.
Na amesema Russia haita surrender katika vita hivi mpaka pale Ukraine itakapokubali kuwa Neutral state!
aliemvamia mwenzie ni nan?
 
Putin sijui kawakosea nn
Alifata nn huko? Nikikumbuka lile limsafara la vifaru la mwezi Feb mwaka jana la km 150(almost Shinyanga to Mwanza km 164). NASHINDWA kuelewa kabsa ila nikifikilia kwa kina kwa nn aliogopa kwenda South Africa kwenye mkutano wa brics,na nikiwaza kwa nn anaomba msaada kwa North korea naanza kuelewa kwa nn Rais Zele wa Ukraine Bado yupo hai
 
Wahuni wapi? Hao walioruhusu Hadi wanajeshi Kuwa Mashoga? Ni Swala la Muda Tuu Hizo nchi zitasambaratika.
 
Shida yenu mnashangilia vita kama mpira wa Simba/Yanga badala ya kuongelea uhalisia uliopo kwani ukiongelea athari ya vita bila kuweka Unazi unaathirika nini wewe ambae upo Kijenge na simu yako tuu...
 
Naanza kuelewa kwa nn huna akili, kwa hiyo hayo ma vifaru yangemlinda south Africa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…