Kumekucha: Wachezaji waandamizi wa KMC FC wanalalamika jana Kutokupangwa na badala yake 85% kupangwa wale Wakaa benchi Wazoefu

Ligi yetu externally Inakua lakini internally inakufa.

Makocha wa nje wanaokuja kufundisha bongo ndo wanaoweza kuliona hili kirahisi zaidi au ukiwa sio mshabiki wa simba au yanga unaweza kuliona pia.
La liga ya Spain ina Timu 2-3,ushawai skia imekufa
 
Walishiba maokoto ya bahasha wakaona wakae benchi wasije tapika uwanjani kama mchezaji mmoja wa utopwox
 
Rudia tena kusoma ulichoandika
Nimesema hivi ..La liga Timu zinazofanya Vizuri ni 2(Real Madrid na Barcelona)-3(Altetico Madrid,Bilbao na Sevilla)....na hata ukifukuza Kocha Timu zile mbili top 4 hazikosi


Ligi yetu naifananisha na EPL yaani kuna gape kubwa la Uwekezaji Baina ya Timu moja na timu nyingine hivyo hizi Timu nyingine kufanikiwa ni ngumu hata wakifungwa kelele zinakuwa nyiingi mfano game ya SINgida fountain Gate Vs Simba wachezaji wengi waliocheza na wachezA benchi na usajili mpyah ila look the performance on the pitch...Hata Simba akichezesha kikosi B anaweza anamfunga Kengold vzr ila kinyume chake haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…