Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
La liga ya Spain ina Timu 2-3,ushawai skia imekufaLigi yetu externally Inakua lakini internally inakufa.
Makocha wa nje wanaokuja kufundisha bongo ndo wanaoweza kuliona hili kirahisi zaidi au ukiwa sio mshabiki wa simba au yanga unaweza kuliona pia.