Kumekucha: Wakili msomi Peter Kibatala na Tundu Lissu kumtetea Ney wa Mitego mahakamani

Ukweli haujifichi, Ney ni mwanafasihi
 
WENGI WENU "KIPENDACHO ROHO" HAMUWEZI SIKIA MATUSI.
 
Kikujishuku nako si Tania nzuri hata kidogo,Ney wadongoe hao.
 
Sanaa ni kioo cha jamii, ni kile kinachofanyika ktk maisha yetu ya kila siku.....ukiona reaction km hizi ni jambo zuri sn na ushindi ktk tasnia ya sanaa, ni kielelezo kwmb ujumbe umefika, umepokelewa na umeeleweka vizuri na hadhira.
 
Na wakauhoji wimbo wa salome kama una maadili,,
We usiguse! kolomije namba mbili hiyo" au hujui kuwa huyo ni msanii pendwa chama kile?anatakiwa achukue nafasi ya almarhum komba 2020
 
Nilijua matokeo yake baada ya ile ishu ya kashifa juu ya makanisa, nkajua jamaa anapotea si muda, maswala ya MUNGU hakuna binadam ana mamlaka ya kuyasema HATA kama uendeshwaji wake si mzuri, ndo MUNGU anatumia watu kumdhoofisha
 
Always mtu mwenye makosa huwa anajihisi
 
Kosa kuikashfu serikali period... Hakuna kuwekewa dhamana
 
Hongera Ney we are together bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…