Kumekucha: Wallace Karia kuburuzwa mahakamani, clip zake za matusi dhidi ya Lissu kupelekwa FIFA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426





Binafsi mimi erythrocyte nachukua nafasi hii kumtangaza ndugu Wallace Karia, mtu aliyeingia madarakani kwa mgongo wa Malinzi kama adui wa taifa aliyedhamiria kuua soka la Tanzania kwa sababu anazozijua mwenyewe , yawezekana tuhuma zake za uraia wa somalia zina ukweli.
 
Mpira ni kama imani ni dini sio unataka wa iwe ni sehemu takatifu. Wote CCM na wengine tukemee tabia ya Karia tuache ushabiki. Mpira ni burudani yetu wote. Kama anataka siasa aache mpira. Tusiunge mkono ujinga.
 
Hili litakuwa fundisho kwa walevi wengine , hapa ndio utajua nguvu ya TUNDU LISSU
Hahaha lakini unapotafuta haki angalia nawe usivunje haki ya mwingine. Lema kamuita Mpumbavu, wewe una tumia neon walevi wengine. Tupeleke FIFA na CAF, kasha tusubiri kufurahia matokeo. Lakini ikiwa bado hatujafikia huko na kujua outcome ya hili basi nasi tuwe waungwana, kinyume chake tunakuwa kama huyo tunaye mlalamikia.
 
"Utundulisu ni tabia ya ndege mmoja anayejenga kiota chake, anataga mayai, anaangua vifaranga kisha anajiibia mwenyewe" - Karia
 
Eti kaomba radhi, hapana, peleka mashitaka FIFA, CAF. Huyu katumwa, acha apate malipo yake.
Si wa kumvumilia. Lisu na mpira wapi na wapi? Alitaka kumfurahisha nani? Huyo alitetaka kumfurahisha atatafuta pa kumpeleka.
 
Naona chadrama mcharuko mizee ya matukio mmehamia mahakamani ndio nyumbani kwenu milele nyinyi na vizazi vyenu walahi
Hahahaha
Msituletee utundulissu hapa alllah!
Tumewafyekelea mbali walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio jambo zuri kumfanyia dhihaka Lissu anayepitia magumu na ukatili mkubwa lakini msimpaoshe umaarufu wa Hugo kiongozi mjinga asiye na mafanikio kwa taifa toka kuzaliwa! Katika fanikio alilopata nahata kujulikana in kumtusi Lissu sasa mtafanya apewe UDC singida hatakama sio raia.
Vijana was chadama muwe wavumilivu maana kuhusu kutukana ninyi mmetukana wengi sana!!
 
Sasa wewe mbona source ya inforamtion ni invalid!!!!!

Yaani unamuweka Yerriko Nyerere, na Kina Godbless Lema ambao aliyesemwa ni mtu wao unategemea wangempongeza???

Ati kuburuzwa mahakamani..... Wanasiasa nyie ingekuwa kasema hayo kwa CCM tweet zisingekuwa namn hii tatzo mnapenda kusikia masikio yenu yanayopenda kuyasikia shauri yeeenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndio utakubali kuwa upinzan unaendeshwa na mihemko na MATUKIO. Mjadala wa 1.5T,Sheria ya vyama vya siasa umepotezwa na neno UTUNDULISU. Hili halitafika mbali CCM watakuja na wimbo mpya na kama kawaida vijana wa ufipa watahama. Ni maajabu sana ukisikia mtu anasema upinzan kuna watu SMART.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Maneno ya mwisho ni murua kabisa hongera sana!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…