Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
karia anaongoza chama gani cha siasa ?Heheheheh Lissu akikashifu wengine mnaona safi, lakini hiki kitu kidogo mnaona dili..ujinga wa vibaraka wa wazunguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karia anaongoza chama gani cha siasa ?Heheheheh Lissu akikashifu wengine mnaona safi, lakini hiki kitu kidogo mnaona dili..ujinga wa vibaraka wa wazunguu
Kusema ukweli wa madhila yaliyomkuta ndiyo kukashifu, utakuwa unatumia makalio kufikiri.Heheheheh Lissu akikashifu wengine mnaona safi, lakini hiki kitu kidogo mnaona dili..ujinga wa vibaraka wa wazunguu
Susieni na katazeni wanachama wenu wasiangalie mpira muone kama mnaushawishi wowote tzTunajadili namna ya kususia shughuli zote zinazoandaliwa na TFF , tuone watakula nini .
Huijui nguvu yetu mjomba , waulize walioamua kutumia vifaru kuzuia mikutano yetuSusieni na katazeni wanachama wenu wasiangalie mpira muone kama mnaushawishi wowote tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata kura mil 10 tulizoporwa dhidi ya kura mil 3 unusu za bwana yule ndio kuharibu ?
Unazungumzia Tundu Lisssuu huyu aliyekuwa kibaraka wa Accassia..??? Au mwingine.!!!Hii nchi watu wameshakuwa wapumbavu sana, ili u-draw attention ya Mr. Magufuli lazima umtukane mtu ambaye unahisi ni adui yake.
Huyu msomali anashindwa kuelewa kuwa one day hata huyo Tundu Lissu anayemdhihaki leo, kesho anaweza kuwa rais wake na akatafuta pa kuficha uso na asipate.
Msomali lazima ajue kuwa siasa haina "Fixed Known Formula", kwani hata Trump ambaye aliwahi kufirisika mara saba na kushindwa kukopesheka hadi alipookolewa na tajiri wa Saudia, hakuna aliyefikiria kuwa kuna siku angeweza kuja kuwa rais.
Hata huyu John Magufuli ambaye kuna kipindi alitaka kujiuzulu uwaziri baada ya kuhitilafiana na mabosi wake kuhusiana na maswala ya kikazi, sio watu tu bali hata yeye hakujua kuwa angeweza kuja kuwa rais mwaka moja tu baadaye.
Hii tabia ya kujipendekeza kwa watawala ni tabia mbovu na ya kijinga sana na hata akina Mwigulu pia walikuwa na tabia kama hii hii lkn haikuwafikisha popote hadi leo ni wapita njia tu kama sisi.
Kuna IGP moja kule Kenya aliitwa Ben Gethi (Rip) wakati wa utawala wa Mzee Jomo Kenyatta (Rip) alikuwa akinyanyasa sana watu na aliwahi hata kumnasa kibau aliyekuwa makamu wa rais Bw.Daniel arap Moi na Moi alipoukwaa urais huyu Ben Gethi alitorokea Somalia kwa mguu akihofia kitendo alichomfanyia Bw. Moi miaka ya nyuma.
Hivyo Wallace Karia, chunga sana wewe bado kijana, usicheze na dunia kwani haina mwenyewe na wala haina bingwa ila sote tuko "Transit" hapa. Jifunze hata kwa "Experience" ya Joseph Kabila kipindi akiwa hapa Tanzania yaliyomkuta kabla hajarejea Congo DR.
bwana karia Alikuwa DED MVOMERO kwakuwa alikuwa DED atakuwa mwana ccm kwakuwa ni mwana ccm ana akili kama wana ccm wengine kama wewe kilamba viatu hata vyenye uvundooooooMnatundulisu kila kitu sasa.
Hahaha!! Dah! Eti barua 36,watakuwa wanatuma double double au zote kwa mpigo.Hivi bosi ukiambiwa zimeandikwa barua zaidi ya 36 maana yake ni nini?
Inakuwa moja ila imetengenezwa copy au ni barua zenye maudhui tofauti tofauti.
Kama ni moja iliyotolewa copy 36, je inafaa kuitwa barua 36?
Kama ni zenye maudhui tofauti, unadhani hizo barua zitakuwa na maudhui yepi kutokana na kauli moja?
kiungwana Chadema imetoa siku 7 tu kwa bwana Karia kuomba radhi kwa njia ile ile aliyoitumia kutukana , baada ya hapo itatangazwa kutoshiriki shughuli zozote zinazoandaliwa na TFF , hapo ndio utajua Ukuu wa Chadema , iulize TBC , msilete lawamaMawazo ya Kipumbavu toka kwa Mpumbavu Lema kwa Bw. Karia
Kama kweli chadema wataamua kususia shiguli za TFF This will be the most Stupid move nliyowahi kuiona,acha kabisa mahaba ya soka nyie,watajikuta wanasusa hta 10 hawafiki,soka na siasa, soka irabaki kua juu in pierre liquid voicekiungwana Chadema imetoa siku 7 tu kwa bwana Karia kuomba radhi kwa njia ile ile aliyoitumia kutukana , baada ya hapo itatangazwa kutoshiriki shughuli zozote zinazoandaliwa na TFF , hapo ndio utajua Ukuu wa Chadema , iulize TBC , msilete lawama
Umezoea kuandikia barua marafik zako huko kijijin kwenu, sasa unadhan na barua ya kiofisi ina maelezo likuki kama ww unavyowaandikiaga shoga zako kijijin huko...Eti barua 36 hahaha, tunapendaga kuweka comedy kwenye mambo ya msingi.