Kumekucha: Wallace Karia kuburuzwa mahakamani, clip zake za matusi dhidi ya Lissu kupelekwa FIFA

Hii nchi watu wameshakuwa wapumbavu sana, ili u-draw attention ya Mr. Magufuli lazima umtukane mtu ambaye unahisi ni adui yake.

Huyu msomali anashindwa kuelewa kuwa one day hata huyo Tundu Lissu anayemdhihaki leo, kesho anaweza kuwa rais wake na akatafuta pa kuficha uso na asipate.

Msomali lazima ajue kuwa siasa haina "Fixed Known Formula", kwani hata Trump ambaye aliwahi kufirisika mara saba na kushindwa kukopesheka hadi alipookolewa na tajiri wa Saudia, hakuna aliyefikiria kuwa kuna siku angeweza kuja kuwa rais.

Hata huyu John Magufuli ambaye kuna kipindi alitaka kujiuzulu uwaziri baada ya kuhitilafiana na mabosi wake kuhusiana na maswala ya kikazi, sio watu tu bali hata yeye hakujua kuwa angeweza kuja kuwa rais mwaka moja tu baadaye.

Hii tabia ya kujipendekeza kwa watawala ni tabia mbovu na ya kijinga sana na hata akina Mwigulu pia walikuwa na tabia kama hii hii lkn haikuwafikisha popote hadi leo ni wapita njia tu kama sisi.

Kuna IGP moja kule Kenya aliitwa Ben Gethi (Rip) wakati wa utawala wa Mzee Jomo Kenyatta (Rip) alikuwa akinyanyasa sana watu na aliwahi hata kumnasa kibau aliyekuwa makamu wa rais Bw.Daniel arap Moi na Moi alipoukwaa urais huyu Ben Gethi alitorokea Somalia kwa mguu akihofia kitendo alichomfanyia Bw. Moi miaka ya nyuma.

Hivyo Wallace Karia, chunga sana wewe bado kijana, usicheze na dunia kwani haina mwenyewe na wala haina bingwa ila sote tuko "Transit" hapa. Jifunze hata kwa "Experience" ya Joseph Kabila kipindi akiwa hapa Tanzania yaliyomkuta kabla hajarejea Congo DR.
 
Hivi viongozi wote wanaofanya kazi na Karia ni wezi au yeye ndio mwizi?

Ashughulikie ratiba, mzamini wa ligi kuu na alipe zawadi za washindi.

Kama anataka siasa aingie huko atawakuta huku unatuchefua tu.

Wewe una uhakika gani kuwa Lissu ana makosa?
Wenye akili zao wanakuangalia na unafiki na kujipendekeza kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mala mia Tenga angekuwa kiongozi wa kudumu wa TFF walau alikuwa na maono. Ila awa wajumbe ambao upiga kura kuchagua raisi wa TFF awakumuona Ally Mayai kweli mpaka wanaenda kumchagua mtu ambaye ni mkurugenzi wa halmashauri aje kuongoza mpira?
 
Hii nchi watu wameshakuwa wapumbavu sana, ili u-draw attention ya Mr. Magufuli lazima umtukane mtu ambaye unahisi ni adui yake.

Huyu msomali anashindwa kuelewa kuwa one day hata huyo Tundu Lissu anayemdhihaki leo, kesho anaweza kuwa rais wake na akatafuta pa kuficha uso na asipate.

Msomali lazima ajue kuwa siasa haina "Fixed Known Formula", kwani hata Trump ambaye aliwahi kufirisika mara saba na kushindwa kukopesheka hadi alipookolewa na tajiri wa Saudia, hakuna aliyefikiria kuwa kuna siku angeweza kuja kuwa rais.

Hata huyu John Magufuli ambaye kuna kipindi alitaka kujiuzulu uwaziri baada ya kuhitilafiana na mabosi wake kuhusiana na maswala ya kikazi, sio watu tu bali hata yeye hakujua kuwa angeweza kuja kuwa rais mwaka moja tu baadaye.

Hii tabia ya kujipendekeza kwa watawala ni tabia mbovu na ya kijinga sana na hata akina Mwigulu pia walikuwa na tabia kama hii hii lkn haikuwafikisha popote hadi leo ni wapita njia tu kama sisi.

Kuna IGP moja kule Kenya aliitwa Ben Gethi (Rip) wakati wa utawala wa Mzee Jomo Kenyatta (Rip) alikuwa akinyanyasa sana watu na aliwahi hata kumnasa kibau aliyekuwa makamu wa rais Bw.Daniel arap Moi na Moi alipoukwaa urais huyu Ben Gethi alitorokea Somalia kwa mguu akihofia kitendo alichomfanyia Bw. Moi miaka ya nyuma.

Hivyo Wallace Karia, chunga sana wewe bado kijana, usicheze na dunia kwani haina mwenyewe na wala haina bingwa ila sote tuko "Transit" hapa. Jifunze hata kwa "Experience" ya Joseph Kabila kipindi akiwa hapa Tanzania yaliyomkuta kabla hajarejea Congo DR.
Unazungumzia Tundu Lisssuu huyu aliyekuwa kibaraka wa Accassia..??? Au mwingine.!!!
Khaaa....???!!! Awe Rais wa wapi au rais..??? OVER MY DEAD BODY..
 
Hivi bosi ukiambiwa zimeandikwa barua zaidi ya 36 maana yake ni nini?

Inakuwa moja ila imetengenezwa copy au ni barua zenye maudhui tofauti tofauti.

Kama ni moja iliyotolewa copy 36, je inafaa kuitwa barua 36?

Kama ni zenye maudhui tofauti, unadhani hizo barua zitakuwa na maudhui yepi kutokana na kauli moja?
Hahaha!! Dah! Eti barua 36,watakuwa wanatuma double double au zote kwa mpigo.

Yaani nimeamini cdm ni genge la wauni na hawana tofauti na Ze comedy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhahaha CDM kwa kudanganyana mpo vizuri. Zile kesi mlizopeleka mahakama za kimataifa ziliishia wapi?

Mnavyomuabudu lissu kha mnaboa
 
Mawazo ya Kipumbavu toka kwa Mpumbavu Lema kwa Bw. Karia
kiungwana Chadema imetoa siku 7 tu kwa bwana Karia kuomba radhi kwa njia ile ile aliyoitumia kutukana , baada ya hapo itatangazwa kutoshiriki shughuli zozote zinazoandaliwa na TFF , hapo ndio utajua Ukuu wa Chadema , iulize TBC , msilete lawama
 
Kama kweli chadema wataamua kususia shiguli za TFF This will be the most Stupid move nliyowahi kuiona,acha kabisa mahaba ya soka nyie,watajikuta wanasusa hta 10 hawafiki,soka na siasa, soka irabaki kua juu in pierre liquid voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango yote imekamilika , Hatimaye barua yenye uchafu wa Karia imeishafikishwa FIFA
 
Eti barua 36 hahaha, tunapendaga kuweka comedy kwenye mambo ya msingi.
Umezoea kuandikia barua marafik zako huko kijijin kwenu, sasa unadhan na barua ya kiofisi ina maelezo likuki kama ww unavyowaandikiaga shoga zako kijijin huko...
Hapo inawezekana kila kosa(kama yapo 36) wakaliandikia barua yake ... FIFA wakiona zna mashiko, taratibu zngne ztafata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom