Kumekucha: Wallace Karia kuburuzwa mahakamani, clip zake za matusi dhidi ya Lissu kupelekwa FIFA

Msije mkasema Lema katukana kwa kusema Karia mpumbavu. Mahakama ilishasema neno mpumbavu sio tusi kwenye kesi ya aliyofunguliwa Sugu kwa kumwita PM wa wakati huo mtoto wa mkulima kuwa ni mpumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu naye aliteuliwa na Mwenyekiti wa CCM?

Hivi inakuwaje kila sehemu ni CCM, hata katika maeneo yasiyoambatana na vyeo?
Hivi hakuna viongozi wowote wa maeneo kama haya ambao wanaegemea kwenye upinzani?
Awamu hii anaye egemea upinzani kama yupo ajitahidi asijulikane
 
Atakapoadhibiwa usibadili msimamo

Sent using Sukhoi Su-57
Nibadili kwa mitazamo ya mabeberu yenu kila kitu kutaka kushitaki Watu kwa wazungu.They always regard African people as Subhumans including shithole from Singida.
 
Hivi mafikiria FIFA wajinga hivi mkiuliza kachanganyaje mpira na siasa mtajibu nini au mtasema alisema utundu lisu washauri wajikite bungeni maana washasau kabisa wapo kipindi gani wote wanashindana kukiki insta

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uwoga wewe, FIFA sio muhimili kama mihimili ya hapa TZ, FIFA inajua uratibu wa mpira unatakiwa uwendeshwe vipi sio ulonza kama ulionao wewe, suburini mtaiona fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehe tehe tehe,barua 36 kwenda fifa!
Fifa ni wagumu sana kutosa watu wao kirahisi
Karia ni kete muhimu sana kwa Infantino na Ahmed Ahmed wa Caf,mpaka walifika Tanzania na kufanya kikao cha kamati ya utendaji,itakua vigumu sana kumtosa karia na kuwasikiliza chadema
Hizo kesi fungueni humu humu tu kupeleka fifa ni kupoteza muda,karia hang'oki kwa style hiyo
 
Acha uwoga wewe, FIFA sio muhimili kama mihimili ya hapa TZ, FIFA inajua uratibu wa mpira unatakiwa uwendeshwe vipi sio ulonza kama ulionao wewe, suburini mtaiona fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale sio wapuuzi ni sawa akasema uobama mngepeleka FIFA acheni kukiki tangazeni sera zenu mtaenda kuaibika tu huko.

Cha ajabu hata wabunge wenu wameshasau 1.5T sasa wanashindana kukiki insta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa bila shaka ni mwanasiasa
Mpira ilikuwa ni njia ya kupitia tu tusishangae 2020 anagombea ubunge.
Hivi ana asili ya mkoa gani?
 
Hili litakuwa fundisho kwa walevi wengine , hapa ndio utajua nguvu ya TUNDU LISSU
Mbona JF mmeigeuzwa jukwaa la chadema JC watu hawalalamiki. Acheni Utundu Lissu kwenye mambo ya msingi.
 
Narudia tena Wallace zakaria yuko sahihi kabisa Utundu LISU NI UJINGA NA UPUMBAFU Mwanzo mwisho
Hata kama, madaraka yake hapaswi kutolea maoni juu ya udhaifu wa wana siasa, angoje mgawanyiko wakati timu ya taifa ikicheza, kwani hatujui kuwa huwezi kuwa kiongozi bila ya kuwa ccm? Lakini wanapiga kimya mambo yanaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kaomba radhi, hapana, peleka mashitaka FIFA, CAF. Huyu katumwa, acha apate malipo yake.
Si wa kumvumilia. Lisu na mpira wapi na wapi? Alitaka kumfurahisha nani? Huyo alitetaka kumfurahisha atatafuta pa kumpeleka.
Kishavuruga huyu msomali mkuu , haijui nguvu ya Chadema , atavuna alichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…