simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kwa upuuzi huu Karia hachomoki FIFA kumpiga rungu. Ajiandae kisaikolojia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachekesha sana endeleeni kukiki 2020 mtasema mmeibiwa kuraKwa upuuzi huu Karia hachomoki FIFA kumpiga rungu. Ajiandae kisaikolojia.
Maliza period yako kwanzaNaona chadrama mcharuko mizee ya matukio mmehamia mahakamani ndio nyumbani kwenu milele nyinyi na vizazi vyenu walahi
Hahahaha
Msituletee utundulissu hapa alllah!
Tumewafyekelea mbali walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ccm sasa ndio mmepata hoja,hahahahaaaa!Mnatundulisu kila kitu sasa.
Awamu hii anaye egemea upinzani kama yupo ajitahidi asijulikaneHuyu naye aliteuliwa na Mwenyekiti wa CCM?
Hivi inakuwaje kila sehemu ni CCM, hata katika maeneo yasiyoambatana na vyeo?
Hivi hakuna viongozi wowote wa maeneo kama haya ambao wanaegemea kwenye upinzani?
Unadhani maneno hayo angesema Polepole kungekuwa na shidaHeheheheh Lissu akikashifu wengine mnaona safi, lakini hiki kitu kidogo mnaona dili..ujinga wa vibaraka wa wazunguu
Hivi mafikiria FIFA wajinga hivi mkiuliza kachanganyaje mpira na siasa mtajibu nini au mtasema alisema utundu lisu washauri wajikite bungeni maana washasau kabisa wapo kipindi gani wote wanashindana kukiki insta
Nibadili kwa mitazamo ya mabeberu yenu kila kitu kutaka kushitaki Watu kwa wazungu.They always regard African people as Subhumans including shithole from Singida.Atakapoadhibiwa usibadili msimamo
Sent using Sukhoi Su-57
Acha uwoga wewe, FIFA sio muhimili kama mihimili ya hapa TZ, FIFA inajua uratibu wa mpira unatakiwa uwendeshwe vipi sio ulonza kama ulionao wewe, suburini mtaiona freshHivi mafikiria FIFA wajinga hivi mkiuliza kachanganyaje mpira na siasa mtajibu nini au mtasema alisema utundu lisu washauri wajikite bungeni maana washasau kabisa wapo kipindi gani wote wanashindana kukiki insta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale sio wapuuzi ni sawa akasema uobama mngepeleka FIFA acheni kukiki tangazeni sera zenu mtaenda kuaibika tu huko.Acha uwoga wewe, FIFA sio muhimili kama mihimili ya hapa TZ, FIFA inajua uratibu wa mpira unatakiwa uwendeshwe vipi sio ulonza kama ulionao wewe, suburini mtaiona fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona JF mmeigeuzwa jukwaa la chadema JC watu hawalalamiki. Acheni Utundu Lissu kwenye mambo ya msingi.Hili litakuwa fundisho kwa walevi wengine , hapa ndio utajua nguvu ya TUNDU LISSU
Hata kama, madaraka yake hapaswi kutolea maoni juu ya udhaifu wa wana siasa, angoje mgawanyiko wakati timu ya taifa ikicheza, kwani hatujui kuwa huwezi kuwa kiongozi bila ya kuwa ccm? Lakini wanapiga kimya mambo yanaenda.Narudia tena Wallace zakaria yuko sahihi kabisa Utundu LISU NI UJINGA NA UPUMBAFU Mwanzo mwisho
Kishavuruga huyu msomali mkuu , haijui nguvu ya Chadema , atavuna alichopandaEti kaomba radhi, hapana, peleka mashitaka FIFA, CAF. Huyu katumwa, acha apate malipo yake.
Si wa kumvumilia. Lisu na mpira wapi na wapi? Alitaka kumfurahisha nani? Huyo alitetaka kumfurahisha atatafuta pa kumpeleka.