Kumekucha: Wallace Karia kuburuzwa mahakamani, clip zake za matusi dhidi ya Lissu kupelekwa FIFA

NAONA HADITHI TU TANGU UZI HUU UTOKE NYERERE NA LEMA hakuna cha kesi wala nini KARIA ANAPETA TU ...na kuwaandalia SIMBA ubingwa wa mezani kwa mechi za vipolo nk
 
nashangaa na wanaopenda kuona wenzao wanaangamia
kwanza mjiulize Wallace Karia kawekwa na nani pale TFF
katika List hakuwepo kabisa ndio mjue watu wapo kazini kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…