Kumekucha! Wenye majina haya tu ndiyo huwa na mvuto mkubwa wa kimapenzi

majina yale ya juu ya wanaume huwavutia wanawake wengi sana,ndio maana kwa mfano:frank,said(side),john ,abdallah(dulla) ni mepesi kuyatamka na mwenye jina akarespond kwa haraka hii humfanya mwanamke kijihisi kuwa ana nafasi kubwa sana kwa mwanaume huyo. fuatialia wimbo wa temba kuna eneo jamaa anasema(side said mnyamwezi mtoto wa mbezi ana mademu ile kishenzi) HONGERENI BWANA NA MAJINA YENU MIMI NAITWA PARTRICK.
 
Hahahahaaaaaa umesahau majina ya asili au ya kilugha
 
haaa mbona mie langu halipo na kila siku bby wangu ananiambia nina mvuto?

acheni hizo bhana, mvuto hauko kwa majina bali kwa mutu menyewe, looooh
 
Hamna ukweli wowote.kwa hiyo hata km sina mvuto nikibadili Tu jina mvuto unakuja

mbona watudanganya waziwazi
 
Ningekosekana iyo list yako ingekua hewa
 
Kelvin; kevy, kelly
 
Mkuu wewe jina lako lipo???

Thubutu Mkuu litokee wapi hapo? Mimi na wenzangu wengi nadhani ndiyo tuko katika lile fungu la kukosa. Naitwa Bw. Kalemera Rwigyema Mazimpaka a.k.a ( Kadogoo ) je kuna jina linalofanana na haya hapo juu katika majina orodheshwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…