_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 942
Sio kweli kwa sababu jina langu lipo hapo na bado jamaa anasumbua [emoji4] [emoji4]WANAUME.
WANAWAKE.
- Frank.
- John.
- Kelvin.
- Charles
- Edward.
- Kassim.
- Mohamed.
- Abdallah.
- Said.
- Yassin.
Kwa ambao pengine kwa namna moja au nyingine majina yetu hayapo katika Orodha ya kutukuka hapo juu tusiwe tunashangaa sana pindi tunapokuwa tunapatwa na " misukosuko " kila uchao katika maisha yetu ya Kimahusiano kwani jibu sahihi ni katika majina.
- Brenda.
- Catherine.
- Sarah.
- Grace.
- Janet.
- Rahma.
- Asnath.
- Khadija.
- Nuru.
- Hidaya.
Kama utaona umeumia na ukweli uliopo hapo juu bado una muda wa kwenda kubadili jina ili uchague moja wapo hapo juu ila ukweli ni kwamba wenye hayo majina hapo juu ndiyo VINARA kwa MAHABA na wana MVUTO halisia wa KIMAPENZI.
Hongereni sana wenye hayo majina hapo juu na Wewe ambaye kila kukicha unalalamika Mpenzi wako anakusumbua au anakutesa nadhani leo kupitia haya majina tajwa hapo juu utakuwa umeshapata suluhisho kamili hivyo fanya maamuzi upesi na Chagua Mpenzi mwenye majina tajwa hapo juu tu na hayo mengine achana nayo tafadhali.
Ijumaa njema / kareem.