Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 292
- 433
BambataaMvuto upi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BambataaMvuto upi
Na Edward lowassaDr John Pombe Magufuli,
Mh Kasimu Majaliwa
Ningekosekana iyo list yako ingekua hewaWANAUME.
WANAWAKE.
- Frank.
- John.
- Kelvin.
- Charles
- Edward.
- Kassim.
- Mohamed.
- Abdallah.
- Said.
- Yassin.
Kwa ambao pengine kwa namna moja au nyingine majina yetu hayapo katika Orodha ya kutukuka hapo juu tusiwe tunashangaa sana pindi tunapokuwa tunapatwa na " misukosuko " kila uchao katika maisha yetu ya Kimahusiano kwani jibu sahihi ni katika majina.
- Brenda.
- Catherine.
- Sarah.
- Grace.
- Janet.
- Rahma.
- Asnath.
- Khadija.
- Nuru.
- Hidaya.
Kama utaona umeumia na ukweli uliopo hapo juu bado una muda wa kwenda kubadili jina ili uchague moja wapo hapo juu ila ukweli ni kwamba wenye hayo majina hapo juu ndiyo VINARA kwa MAHABA na wana MVUTO halisia wa KIMAPENZI.
Hongereni sana wenye hayo majina hapo juu na Wewe ambaye kila kukicha unalalamika Mpenzi wako anakusumbua au anakutesa nadhani leo kupitia haya majina tajwa hapo juu utakuwa umeshapata suluhisho kamili hivyo fanya maamuzi upesi na Chagua Mpenzi mwenye majina tajwa hapo juu tu na hayo mengine achana nayo tafadhali.
Ijumaa njema / kareem.
Kelvin; kevy, kellymajina yale ya juu ya wanaume huwavutia wanawake wengi sana,ndio maana kwa mfano:frank,said(side),john ,abdallah(dulla) ni mepesi kuyatamka na mwenye jina akarespond kwa haraka hii humfanya mwanamke kijihisi kuwa ana nafasi kubwa sana kwa mwanaume huyo. fuatialia wimbo wa temba kuna eneo jamaa anasema(side said mnyamwezi mtoto wa mbezi ana mademu ile kishenzi) HONGERENI BWANA NA MAJINA YENU MIMI NAITWA PARTRICK.
Mkuu wewe jina lako lipo???
hii naipa F au FAILED
Baada yakuhakikisha jina lako nawewe lipo ndio ukatupia humu