Kumekucha! Wenye majina haya tu ndiyo huwa na mvuto mkubwa wa kimapenzi

Ni kweli i see, jina langu limo na huwa nawavuta kama vile kumuangusha mlevi.. Tehtehteeh
 
Thubutu Mkuu litokee wapi hapo? Mimi na wenzangu wengi nadhani ndiyo tuko katika lile fungu la kukosa. Naitwa Bw. Kalemera Rwigyema Mazimpaka a.k.a ( Kadogoo ) je kuna jina linalofanana na haya hapo juu katika majina orodheshwa?
si ubadilishe jina kama ulivyotushauri??
 
Kumbe JPM na waziri Mkuu nao wamo pamoja na EL
 
Kwan dunian kuna majina mangapi ukiacha yale yale yanayojirudia.
 
Kwan dunian kuna majina mangapi ukiacha yale yale yanayojirudia.

Swali lako limeonyesha wazi kabisa kuwa huna jina linalofanana na hayo tajwa hapo juu hivyo sasa " unapovuka " tu Mkuu. Pole sana!
 
mh! KASSIM MGANGA NDANI DUUUUUUUH
 
kassim yassin

Nichagulie jingine Mkuu kwani hapa " Kitaa " kuna " Kibaka " mmoja hivi anakwenda kwa jina hilo hilo na sifa yake kubwa au sijui ndiyo kipaji chake kikubwa hukuibia huku unamwangalia halafu utakuja kushtuka akiwa ndiyo anaishia ishia mtaa wa saba ( 7 ) na kutokomea zake.
 
mkuu mi naona hilo tu ndo linakufaa mengine ni oversize
 
Kupatwa kwa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…