Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juju...?[emoji8] [emoji8]Heheheh hakuna kabisaaa kuna majina hapo ni matamu hayapo la kwangu pia halipo
Yea wamelisahau jina lako soooo romanticJuju...?[emoji8] [emoji8]
Na Mwajuma aka Mwa J,hata Shabani au Shebby kayaacha...mbayaa huyu hahahahahHujamweka "Mwadhani" hapo .ha ha ha
si ubadilishe jina kama ulivyotushauri??Thubutu Mkuu litokee wapi hapo? Mimi na wenzangu wengi nadhani ndiyo tuko katika lile fungu la kukosa. Naitwa Bw. Kalemera Rwigyema Mazimpaka a.k.a ( Kadogoo ) je kuna jina linalofanana na haya hapo juu katika majina orodheshwa?
si ubadilishe jina kama ulivyotushauri??
Kwan dunian kuna majina mangapi ukiacha yale yale yanayojirudia.
kassim yassinNichagulie Wewe jina je nijiiteje labda?
kassim yassin
mkuu mi naona hilo tu ndo linakufaa mengine ni oversizeNichagulie jingine Mkuu kwani hapa " Kitaa " kuna " Kibaka " mmoja hivi anakwenda kwa jina hilo hilo na sifa yake kubwa au sijui ndiyo kipaji chake kikubwa hukuibia huku unamwangalia halafu utakuja kushtuka akiwa ndiyo anaishia ishia mtaa wa saba ( 7 ) na kutokomea zake.
Kupatwa kwa mapenziWANAUME.
WANAWAKE.
- Frank.
- John.
- Kelvin.
- Charles
- Edward.
- Kassim.
- Mohamed.
- Abdallah.
- Said.
- Yassin.
Kwa ambao pengine kwa namna moja au nyingine majina yetu hayapo katika Orodha ya kutukuka hapo juu tusiwe tunashangaa sana pindi tunapokuwa tunapatwa na " misukosuko " kila uchao katika maisha yetu ya Kimahusiano kwani jibu sahihi ni katika majina.
- Brenda.
- Catherine.
- Sarah.
- Grace.
- Janet.
- Rahma.
- Asnath.
- Khadija.
- Nuru.
- Hidaya.
Kama utaona umeumia na ukweli uliopo hapo juu bado una muda wa kwenda kubadili jina ili uchague moja wapo hapo juu ila ukweli ni kwamba wenye hayo majina hapo juu ndiyo VINARA kwa MAHABA na wana MVUTO halisia wa KIMAPENZI.
Hongereni sana wenye hayo majina hapo juu na Wewe ambaye kila kukicha unalalamika Mpenzi wako anakusumbua au anakutesa nadhani leo kupitia haya majina tajwa hapo juu utakuwa umeshapata suluhisho kamili hivyo fanya maamuzi upesi na Chagua Mpenzi mwenye majina tajwa hapo juu tu na hayo mengine achana nayo tafadhali.
Ijumaa njema / kareem.
mkuu mi naona hilo tu ndo linakufaa mengine ni oversize
acha matusi mkuu mie mwenyew mwanaumeMwite nalo " Mumeo ".