Kumekucha! Wenye majina haya tu ndiyo huwa na mvuto mkubwa wa kimapenzi

Sio kweli kwa sababu jina langu lipo hapo na bado jamaa anasumbua [emoji4] [emoji4]
 
Kwelii hii ni kweli hasa hapo mamba tatu
 
Sio kweli kwa sababu jina langu lipo hapo na bado jamaa anasumbua [emoji4] [emoji4]

Usitegemee kama humkatii Viuno yeye atafurahia tu hiyo " mbunye " yako. Hayo majina yanaendana na " utamu " wako na unavyojishughulisha sasa Wewe endelea tu kudhani kuachanisha miguu pekee kunatosha wakati hata " mende " nae huiachanisha vile vile.
 
Acha kuwapoteza watu

Walishapotezwa " kitambo " tu na waliowapa hayo majina yao waliyonayo na ambayo katika list ya hapo juu hayapo. Sasa hapo Mimi naingiaje kuwa ninawapoteza? Pole sana Kaka Athumani.
 
Thubutu Mkuu litokee wapi hapo? Mimi na wenzangu wengi nadhani ndiyo tuko katika lile fungu la kukosa. Naitwa Bw. Kalemera Rwigyema Mazimpaka a.k.a ( Kadogoo ) je kuna jina linalofanana na haya hapo juu katika majina orodheshwa?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hamna ukweli wowote.kwa hiyo hata km sina mvuto nikibadili Tu jina mvuto unakuja

mbona watudanganya waziwazi
 
uongo kupitiliza, names does nothing in love.
 
hii mada inawafaa wazungu na waarabu maana majina yote hapo hamna majina ya kiafrika
 
yaani nibadili jina kwaajili ya mapenzi eti sijui mvuto kweli

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

WAKUPIME WEWE SIO MZIMA
 
Uongo kabisa utasema hizo ndoa zote zilizofungwa ni wote wenye majina hayo mimi ziii
 
Usitegemee kama humkatii Viuno yeye atafurahia tu hiyo " mbunye " yako. Hayo majina yanaendana na " utamu " wako na unavyojishughulisha sasa Wewe endelea tu kudhani kuachanisha miguu pekee kunatosha wakati hata " mende " nae huiachanisha vile vile.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa vigeugeu ndo mwenyewe ntakuweza wapi mie!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…